Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Shillingi ngapi imeibiwa embu tuwekeeni hapa kwa faida ya wote.
 
Ajali ya treni imetokea Tabora eneo la Malolo muda huu. Majeruhi wanapelekwa hospitali. Idadi ya vifo haijajulikana Hadi muda huu
 


MY TAKE
Kipande cha treni kinaondolewa Kadogosa na TRC wakiwa wapi? Ukaguzi haufanyiki? it is time huyu jamaa kutoka!
 
Mi sielewi, ni vipi kampuni ambayo tayari ina equipments na labors na iko site tayari which means hata gharama za mobilization zitakuwa ndogo inabid higher kuliko kampuni ambayo haiko site na itahitaji kufanya mobilization? PPRA wameshauri vizuri sana alafu TRC wakatuuza.
 
Kuna watu walibisha humu wakaona ushauri wa PPRA wa kijinga! Halafu mabehewa yote yaliyokarabatiwa kwa gharama yanaharibiwa kwa sababu ya uzembe kwenye operations tunaambiwa hujuma na Kadogosa lakini hatuambiwi kila kipande kina uangalizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…