Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

ofcourse Kadogosa ni mwizi! nilipigania sheria kufuatwa yaani tender be floated and fair bidding allowed, mkaniona mjinga mkaja na ati inapoteza muda, ati single source is the way forward kwa vile hakuhitaji mobilization! Upigaji wa Kunyaland ndo huo umekuja!

CC: Simon, The best 007
Shillingi ngapi imeibiwa embu tuwekeeni hapa kwa faida ya wote.
 
Ajali ya treni imetokea Tabora eneo la Malolo muda huu. Majeruhi wanapelekwa hospitali. Idadi ya vifo haijajulikana Hadi muda huu
IMG_20220622_122219.jpg
 
MY TAKE
Kipande cha treni kinaondolewa Kadogosa na TRC wakiwa wapi? Ukaguzi haufanyiki? it is time huyu jamaa kutoka!
 
Mi sielewi, ni vipi kampuni ambayo tayari ina equipments na labors na iko site tayari which means hata gharama za mobilization zitakuwa ndogo inabid higher kuliko kampuni ambayo haiko site na itahitaji kufanya mobilization? PPRA wameshauri vizuri sana alafu TRC wakatuuza.
 
Kuna watu walibisha humu wakaona ushauri wa PPRA wa kijinga! Halafu mabehewa yote yaliyokarabatiwa kwa gharama yanaharibiwa kwa sababu ya uzembe kwenye operations tunaambiwa hujuma na Kadogosa lakini hatuambiwi kila kipande kina uangalizi!
 
Back
Top Bottom