Hapo umeyakamata makende yao kisawasawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umeyakamata makende yao kisawasawa.
Hapana sisi tunajenga mpaka keza 258km kama sikosei wao wanajenga from there to kigali 160km nadhaniIsaka mpaka Kigali Ni mbali Sana sio chini ya $2.5 billion , kwa rwanda pekeao Ni pesa nyingi mno.
Inaelekea serikali inataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja maana ungepeleka Keza inge connect to Burundi Rwanda na congo while sidelining the major strategic region of Kigoma in lake Tanganyika.Nimeona kwenye hio clip juu wanaanza phase 2, kill kipande Ni muhimu Sana , nafikili wamemshauri rais sio kutoka isaka to rusumo sio muhimu Sana kile.
Kagame itabidi awe mpole aunganishe from Gitenga na hapo Burundi atakuwa yuko kwenye central location between congo and Rwanda ila na wasiwasi kagame hawezi kukubali.Nadhani humfahamu Kagame vizuri, anaitaka sana hii SGR ila ndo hivyo haitalipa kama ikiishia Kigali na majirani wa kushirikiana nae (yaani Burundi na DRC) wanamkwepa! Hata Uganda sidhani kama inamuamini! As we speak sasa hivi Rwandair haikanyagi DRC Congo!
Ataenda Canada kwa kupita airspace ya nani labda izungukie uganda na sudan naTanzaniaSasa Kama itaishia Kigali ya Nini aingie Madeni?Ndio maana nasema Wala hawezi kua na shobo na hio SGR wkt anajua haitamlipa Ila itaishia kumpa Madeni yasiyolipika.
Rwandair haikanyagi Goma wkt huo huo wkt wa CHOGM Rwandair wamesaini bilateral air service agreement na Canada na Jamaica.Soon wanaanza kwenda Kingston na Toronto.
Goma hao Uganda airlines inawatosha hapo.
ATCL ndio itaanza kuwakera kwenye hizo route alizo drop Rwanda [emoji28]Sasa Kama itaishia Kigali ya Nini aingie Madeni?Ndio maana nasema Wala hawezi kua na shobo na hio SGR wkt anajua haitamlipa Ila itaishia kumpa Madeni yasiyolipika.
Rwandair haikanyagi Goma wkt huo huo wkt wa CHOGM Rwandair wamesaini bilateral air service agreement na Canada na Jamaica.Soon wanaanza kwenda Kingston na Toronto.
Goma hao Uganda airlines inawatosha hapo.
Reandair will loose the market to ATCL and be pushed to dire situation like its distant cousin[emoji1][emoji1] Kwamba kuzuiwa ku-serve Goma, Libumbashi, Kinshasa ndio kutaifanya Nini Rwandair?
😄😄 ATCL au sio?Reandair will loose the market to ATCL and pushed to dire situation like its distant cousin
ATCL Ina International destinations ngapi mpk Sasa?ATCL ndio itaanza kuwakera kwenye hizo route alizo drop Rwanda [emoji28]
😄😄 Motivational speakers bana.Ataenda Canada kwa kupita airspace ya nani labda izungukie uganda na sudan naTanzania
Rwandair was flying to Lubumbashi twice a week!😄😄 Kwamba kuzuiwa ku-serve Goma, Libumbashi, Kinshasa ndio kutaifanya Nini Rwandair?
www.rwandair.com
Mkuu ishu ya SGR ya kwetu kwenda Rwanda it's too risk, hiki kipande Cha isaka -keza- rusumo risk sana kuweka fedha.
Sababu zifuatazo, kwanza ni mbali kutoka isaka mapaka rusumo, pia rwanda hawana mizigo hasa kutoka kwao kule kuja bandarini Bali wanayo mizigo kutoka dsm kwenda kwao, afu Kuna ishu ya mgogoro Kati ya rwanda na drc Wenda rail ikaishia tuu Kigali na hata ikienda north Kivu KUPITIA goma Bado lile eneo halina amani mpaka now.
It's better tunge weka kipaumbele kutoka tabora kalemii mpaka kigoma ziwa tanganyika mapaka msongati Burundi ambako Kuna nickle inaweza kuchibwa ikifika Burundi inaweza kwenda mapaka Congo ambako Kuna mazigo mingi kutoka Congo kuja dsm na kutoka dsm kwenda Congo.
Afu pia kuna Kuna bandari pale kigoma inayopokea na kupeleka mzigo Congo.
Hivi vipande tunavyojenga sasa gharama yake imeongezeka, sielewi tatzo ni nn...Mwaka jana tu kipande cha Mwanza Isaka km 249 + 92km za kupishana na ilikua $1.3, leo km 168 for 900m...numbers does add up kabisa..price ya price per km imepanda ghafla tena sio padogo.Naona kipande kifupi alafu muda wa kujenga mkubwa Sana kwanini isiwe ata miaka 2 na nusu tu au kunachangamoto gani kubwa kwenye icho kipande
Jitoe ufahamu tuu[emoji1][emoji1] ATCL au sio?
165 km plus 35 km sideline! Plus railway college/institute Isitoshe gharama za mafuta zimeongezeka pia mwaka jana na mwaka huu si sawa!Hivi vipande tunavyojenga sasa gharama yake imeongezeka, sielewi tatzo ni nn...Mwaka jana tu kipande cha Mwanza Isaka km 249 + 92km za kupishana na ilikua $1.3, leo km 168 for 900m...numbers does add up kabisa..price ya price per km imepanda ghafla tena sio padogo.
Hii nliiona ht kipande cha Makutupora-Tabora...nfact pesa tuliyowapa yapi kwa kipande cha Makutupora-Tabora. Nway mimi ni nani kuhoji.