Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapa vp?
View attachment 2280910

img_2544-jpg.2280901

img_2543-jpg.2280902

Hapo umeyakamata makende yao kisawasawa.
 
Nimeona kwenye hio clip juu wanaanza phase 2, kill kipande Ni muhimu Sana , nafikili wamemshauri rais sio kutoka isaka to rusumo sio muhimu Sana kile.
Inaelekea serikali inataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja maana ungepeleka Keza inge connect to Burundi Rwanda na congo while sidelining the major strategic region of Kigoma in lake Tanganyika.
This was a tactical decision to start Burundi and DRC route via Kigoma so as to increaee traffic to kigoma and lake Tanganyika routes. This route will serve a larger area as far as Zambia, Congo Burundi Katavi and mbeya compared to isaka keza.

Pili it seems DRC and Burundi were not willing to work with Rwanda on sgr so the isaka keza section lacked the needed political will to expressly initiate construction.

Thirdly; Rwanda will eventually get the rail lakini kwa kuchelewa kidogo and it will depend in part by Uganda willingness to connect to the eco friendly electric sgr.
 
Nadhani humfahamu Kagame vizuri, anaitaka sana hii SGR ila ndo hivyo haitalipa kama ikiishia Kigali na majirani wa kushirikiana nae (yaani Burundi na DRC) wanamkwepa! Hata Uganda sidhani kama inamuamini! As we speak sasa hivi Rwandair haikanyagi DRC Congo!
Kagame itabidi awe mpole aunganishe from Gitenga na hapo Burundi atakuwa yuko kwenye central location between congo and Rwanda ila na wasiwasi kagame hawezi kukubali.
 
Sasa Kama itaishia Kigali ya Nini aingie Madeni?Ndio maana nasema Wala hawezi kua na shobo na hio SGR wkt anajua haitamlipa Ila itaishia kumpa Madeni yasiyolipika.

Rwandair haikanyagi Goma wkt huo huo wkt wa CHOGM Rwandair wamesaini bilateral air service agreement na Canada na Jamaica.Soon wanaanza kwenda Kingston na Toronto.

Goma hao Uganda airlines inawatosha hapo.
Ataenda Canada kwa kupita airspace ya nani labda izungukie uganda na sudan naTanzania
 
Sasa Kama itaishia Kigali ya Nini aingie Madeni?Ndio maana nasema Wala hawezi kua na shobo na hio SGR wkt anajua haitamlipa Ila itaishia kumpa Madeni yasiyolipika.

Rwandair haikanyagi Goma wkt huo huo wkt wa CHOGM Rwandair wamesaini bilateral air service agreement na Canada na Jamaica.Soon wanaanza kwenda Kingston na Toronto.

Goma hao Uganda airlines inawatosha hapo.
ATCL ndio itaanza kuwakera kwenye hizo route alizo drop Rwanda [emoji28]
 
😄😄 Kwamba kuzuiwa ku-serve Goma, Libumbashi, Kinshasa ndio kutaifanya Nini Rwandair?
Rwandair was flying to Lubumbashi twice a week!
Rwandair was flying to Kinshas five times a week and had 3rd rights to operate btn Kinshasa and Goma !
Rwandair was flying to Goma twice a week!

Unless u r so stupid to see there r over 10 flights within DRC by Rwandair and the airline is reeling from unexpected ban!
 
Mkuu ishu ya SGR ya kwetu kwenda Rwanda it's too risk, hiki kipande Cha isaka -keza- rusumo risk sana kuweka fedha.
Sababu zifuatazo, kwanza ni mbali kutoka isaka mapaka rusumo, pia rwanda hawana mizigo hasa kutoka kwao kule kuja bandarini Bali wanayo mizigo kutoka dsm kwenda kwao, afu Kuna ishu ya mgogoro Kati ya rwanda na drc Wenda rail ikaishia tuu Kigali na hata ikienda north Kivu KUPITIA goma Bado lile eneo halina amani mpaka now.
It's better tunge weka kipaumbele kutoka tabora kalemii mpaka kigoma ziwa tanganyika mapaka msongati Burundi ambako Kuna nickle inaweza kuchibwa ikifika Burundi inaweza kwenda mapaka Congo ambako Kuna mazigo mingi kutoka Congo kuja dsm na kutoka dsm kwenda Congo.
Afu pia kuna Kuna bandari pale kigoma inayopokea na kupeleka mzigo Congo.

Ruti ya keza itajengwa tuu broo na ina umuhimu kama tunataka kuwavutia waganda
 
Naona kipande kifupi alafu muda wa kujenga mkubwa Sana kwanini isiwe ata miaka 2 na nusu tu au kunachangamoto gani kubwa kwenye icho kipande
Hivi vipande tunavyojenga sasa gharama yake imeongezeka, sielewi tatzo ni nn...Mwaka jana tu kipande cha Mwanza Isaka km 249 + 92km za kupishana na ilikua $1.3, leo km 168 for 900m...numbers does add up kabisa..price ya price per km imepanda ghafla tena sio padogo.
Hii nliiona ht kipande cha Makutupora-Tabora...nfact pesa tuliyowapa yapi kwa kipande cha Makutupora-Tabora. Nway mimi ni nani kuhoji.
 
165 km plus 35 km sideline! Plus railway college/institute Isitoshe gharama za mafuta zimeongezeka pia mwaka jana na mwaka huu si sawa!

Back
Top Bottom