shabani
JF-Expert Member
- Apr 3, 2009
- 309
- 221
Nadhani kinachowapa Ethiopia Hasara ni wao kuendesha treni ya kubeba mizigo ya Nchi yao tuu. hii ni tofauti na hiyo SGR yenu ambayo inabeba/itabeba mizigo ya Kenya, Uganda na majirani wengine kwenda na kurudi.Ni kampuni gani za kiserekali ambazo unaweza kusema zimeendeshwa vizuri hapo Tanzanzania kiasi cha kua mfano mzuri Africa nzima????? Ethiopia wako na kampuni za stima ambazo zinazalisha umeme mata tatu zaidi ya Tz, wako na kampuni ya serekali ya Mawasilianao ambayo ina tosheleza mahitaji ya 90million population.. Ethiopian Airline ndo National carreir pekee Africa nzima ambayo inapata faidazaidi ya $100m kwa mwaka............ Hawa ndo watu walikua wanafaa waendeshe SGR yao vizuri zaidi kushinda nchi zengine hapa Africa manake wanajua kuendesha kampuni za kiserekali
Na Kwa Tanzania ni hivyo hivyo unabeba wako na majirani kwenda na kurudi Bandarini. Na hapa ndio Tanzania itazipiga bao nchi nyingi kwenye SGR maana mizigo ya kwenda na Kurudi almost itafanana.