Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ni kampuni gani za kiserekali ambazo unaweza kusema zimeendeshwa vizuri hapo Tanzanzania kiasi cha kua mfano mzuri Africa nzima????? Ethiopia wako na kampuni za stima ambazo zinazalisha umeme mata tatu zaidi ya Tz, wako na kampuni ya serekali ya Mawasilianao ambayo ina tosheleza mahitaji ya 90million population.. Ethiopian Airline ndo National carreir pekee Africa nzima ambayo inapata faidazaidi ya $100m kwa mwaka............ Hawa ndo watu walikua wanafaa waendeshe SGR yao vizuri zaidi kushinda nchi zengine hapa Africa manake wanajua kuendesha kampuni za kiserekali
Nadhani kinachowapa Ethiopia Hasara ni wao kuendesha treni ya kubeba mizigo ya Nchi yao tuu. hii ni tofauti na hiyo SGR yenu ambayo inabeba/itabeba mizigo ya Kenya, Uganda na majirani wengine kwenda na kurudi.

Na Kwa Tanzania ni hivyo hivyo unabeba wako na majirani kwenda na kurudi Bandarini. Na hapa ndio Tanzania itazipiga bao nchi nyingi kwenye SGR maana mizigo ya kwenda na Kurudi almost itafanana.
 
But jubilee promised this,
View attachment 920981

Contrary to what they delivered
View attachment 920983
This is Kenya
IMG_20181103_200203.jpg
IMG_20181103_193254.jpg
IMG_20181103_195341.jpg
IMG_20181103_200056.jpg
 
Ulichosema hapo bila kujua ni kwamba unakubali miundombinu yote ya SGR Kenya. Ambacho hukubali ni mitambo ya reli. Ni kama vile mtu asifu barabara lakini acheke gari linaloendeshwa hapo juu ya barabara, La muhimu ni kwamba miundombinu iliotumika kujenga SGR itatuika kwa miaka 80-100, lakini gari ya moshi inaweza kugeuzwa siku zote. Gari ya moshi la abiria Kenya liko na maximu speed of 158km/hr (This was tested and proven during the testing phase last year), Na gari la moshi la kubeba mizigo liko na Max speed of 100km/hr......... Lakini average speed ni 120km/hr na 80km/hr respectively...... Hapa tunaongelea mitambo ya diesel...

Lakini juuya reli hio hio, ukiweka stima story inakua tofauti....... we will see who will have the last laugh

Chinese ambassador to Kenya Liu Xianfa told the Business Daily that President Uhuru Kenyatta supports the upgrade plans.
“We told the President this was possible, but we needed access to reliable power,” said Dr Xianfa. “If effected, it means we can have lunch in Nairobi and later be in Mombasa for dinner in the evening.”
Dr Xianfa reckons that the electric train will move at a speed of 240 kilometres per hour, up from the planned diesel engine speed of 120 kilometre per hour.
SGR electric upgrade to cost taxpayers Sh49bn more
Rail yenu inakona nyingi sana, sizani kama itaweza kwenda kwa speed zaidi ya inavyo enda sasa hivi. Halafu umeme na diesel ni namna ya ku power engine tu. Kwanini unahisi mki electrify itaenda kwa speed zaidi. Kama huo ndiyo ukweli kwanini wa China hawakuwapa diesel powered trains ambazo zina speed zaidi. Kumbuka Rail yenu ni jointed! Msiwe na ma hopes ya kitoto mkaishia kuwa disappointed zaidi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Yenye anajua tu ukielectrify basi ndo itakimbia bila kujua Kuna kitu kinatwa quality by disign .Sasa wameweka Kona Hadi za nyuzi 60 Sasa hiyo speed ya 160km/h itatoka wapi Kama sio shida tupo
 
Rail yenu inakona nyingi sana, sizani kama itaweza kwenda kwa speed zaidi ya inavyo enda sasa hivi. Halafu umeme na diesel ni namna ya ku power engine tu. Kwanini unahisi mki electrify itaenda kwa speed zaidi. Kama huo ndiyo ukweli kwanini wa China hawakuwapa diesel powered trains ambazo zina speed zaidi. Kumbuka Rail yenu ni jointed! Msiwe na ma hopes ya kitoto mkaishia kuwa disappointed zaidi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sasa hapo itabidi urudi darasa kwa experts wa treni kama huelewi kwanini electric train inaweza kuenda mbio zaidi ya diesel....
Kitu cha kwanza, technical name ya sgr ya diesel ni Diesel-Electric yani kwa kifupi, ni generator inatumia diesel na kuzalisha stima alafu stima ndo inatumika kuzungusha magurudumu.... Hii inamaanisha reli ikitaka kuongeza speed, inakunywa mafuta mengi ili izungushe morter RPM nyingi zaidi...

Tofauti na electric train ni kwamba hakuna haja ya ku convert mafuta iwe stima, Power ni unlimited na tena ni instant, ikitaka ku accelerate from zero to 100km/hr kwa sekunde tano inaweza kufanya bila shida.... Diesel ukitaka ku accelerate inabidi uanze kuvuta mafuta, change gear polepole hadi ifike gear ya juu...

Hii ndo maana magari ya Diesel ni slow kuliko magari ya petroli manake diesel inachukua muda ku combust, vile vile electric car inashinda petrol car (as long as battery iko full)

Fatsted Diesel train in history iko na speed ya 217km/hr na ni mjerumani ndo aliweza kuunda treni kama hio lakini ilikua ni prototype..., fatest electric train imefika 600km/hr..... Kuhusu mambo ya Jointed rail vs continuous, Tofauti ingetokea kama kungekua na bullet train, Yani from 250km/hr and above, Lakini chini ya hio speed, haijalishi kama ni jointed and continous...
Angalia hii video, hio treni ya pili inasonga at 180km/hr juu ya Jointed track, pia hio treni ya mwisho kabisa

Ukiangalia kwa hii picha ya kichwa cha SGR Kenya, utaona imeandikwa kwa mkono max speed 158km/hr, Hii hua inaandikwa baada ya treni kupimwa juu ya reli itakayotumika na inaandikwa hapo kwa mlango ili dereva ajue hio ndo Maximum speed ya hio treni ,....
wp_ss_20170504_0001-png.504503
 
Sasa hapo itabidi urudi darasa kwa experts wa treni kama huelewi kwanini electric train inaweza kuenda mbio zaidi ya diesel..
Kitu cha kwanza, technical name ya sgr ya diesel ni Diesel-Electric yani kwa kifupi, ni generator inatumia diesel na kuzalisha stima alafu stima ndo inatumika kuzungusha magurudumu.... Hii inamaanisha reli ikitaka kuongeza speed, inakunywa mafuta mengi ili izungushe morter RPM nyingi zaidi...
Tofauti na electric train ni kwamba hakuna haja ya ku convert mafuta iwe stima, Power ni unlimited na tena niinstant, ikitaka ku accelerate from zero to 100km/hr kwa sekunde tano inaweza kufanya bila shida.... Diesel ukitaka ku accelerate inabidi uanze kuvuta mafuta, change gear polepole hadi ifike gear ya juu...
Hii ndo maana magari ya Diesel ni slow kuliko magari ya petroli.Maneno Mengi haya saidii kitu *fact* ni kwamba sgr ya kenya ni uozo/uchafu..speed ya 80km/h si upuuz mtupu!! naona mna-force force iwe-tofauti hahaha 80km/h
 
Sasa hapo itabidi urudi darasa kwa experts wa treni kama huelewi kwanini electric train inaweza kuenda mbio zaidi ya diesel....
Kitu cha kwanza, technical name ya sgr ya diesel ni Diesel-Electric yani kwa kifupi, ni generator inatumia diesel na kuzalisha stima alafu stima ndo inatumika kuzungusha magurudumu.... Hii inamaanisha reli ikitaka kuongeza speed, inakunywa mafuta mengi ili izungushe morter RPM nyingi zaidi...

Tofauti na electric train ni kwamba hakuna haja ya ku convert mafuta iwe stima, Power ni unlimited na tena ni instant, ikitaka ku accelerate from zero to 100km/hr kwa sekunde tano inaweza kufanya bila shida.... Diesel ukitaka ku accelerate inabidi uanze kuvuta mafuta, change gear polepole hadi ifike gear ya juu...

Hii ndo maana magari ya Diesel ni slow kuliko magari ya petroli manake diesel inachukua muda ku combust, vile vile electric car inashinda petrol car (as long as battery iko full)

Fatsted Diesel train in history iko na speed ya 217km/hr na ni mjerumani ndo aliweza kuunda treni kama hio lakini ilikua ni prototype..., fatest electric train imefika 600km/hr..... Kuhusu mambo ya Jointed rail vs continuous, Tofauti ingetokea kama kungekua na bullet train, Yani from 250km/hr and above, Lakini chini ya hio speed, haijalishi kama ni jointed and continous...
Angalia hii video, hio treni ya pili inasonga at 180km/hr juu ya Jointed track, pia hio treni ya mwisho kabisa

Ukiangalia kwa hii picha ya kichwa cha SGR Kenya, utaona imeandikwa kwa mkono max speed 158km/hr, Hii hua inaandikwa baada ya treni kupimwa juu ya reli itakayotumika na inaandikwa hapo kwa mlango ili dereva ajue hio ndo Maximum speed ya hio treni ,....
wp_ss_20170504_0001-png.504503

High speed trains on a higher embankment railway line at over 2.5 m n small radius curvatures with "higher cant deficiency" leads to accidents! A speed of over 120 km/h is impossible even after ur mtambo wa gongo is electrified. Never seen a high speed train operating on an embankment of over 2.5m height!

BTW our continous welded sgr allows us to operate locomotives that can move over 250km/h just like u have attested. So the moment u electrify urs, we acquire locomotives that can go a speed above 250 km/h!
 
Wakenya niwapuuzi wanakuambia eti wataupdate ....inamaana watafumua hadi vile vyuma vya reli
Rail yenu inakona nyingi sana, sizani kama itaweza kwenda kwa speed zaidi ya inavyo enda sasa hivi. Halafu umeme na diesel ni namna ya ku power engine tu. Kwanini unahisi mki electrify itaenda kwa speed zaidi. Kama huo ndiyo ukweli kwanini wa China hawakuwapa diesel powered trains ambazo zina speed zaidi. Kumbuka Rail yenu ni jointed! Msiwe na ma hopes ya kitoto mkaishia kuwa disappointed zaidi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo itabidi urudi darasa kwa experts wa treni kama huelewi kwanini electric train inaweza kuenda mbio zaidi ya diesel....
Kitu cha kwanza, technical name ya sgr ya diesel ni Diesel-Electric yani kwa kifupi, ni generator inatumia diesel na kuzalisha stima alafu stima ndo inatumika kuzungusha magurudumu.... Hii inamaanisha reli ikitaka kuongeza speed, inakunywa mafuta mengi ili izungushe morter RPM nyingi zaidi...

Tofauti na electric train ni kwamba hakuna haja ya ku convert mafuta iwe stima, Power ni unlimited na tena ni instant, ikitaka ku accelerate from zero to 100km/hr kwa sekunde tano inaweza kufanya bila shida.... Diesel ukitaka ku accelerate inabidi uanze kuvuta mafuta, change gear polepole hadi ifike gear ya juu...

Hii ndo maana magari ya Diesel ni slow kuliko magari ya petroli manake diesel inachukua muda ku combust, vile vile electric car inashinda petrol car (as long as battery iko full)

Fatsted Diesel train in history iko na speed ya 217km/hr na ni mjerumani ndo aliweza kuunda treni kama hio lakini ilikua ni prototype..., fatest electric train imefika 600km/hr..... Kuhusu mambo ya Jointed rail vs continuous, Tofauti ingetokea kama kungekua na bullet train, Yani from 250km/hr and above, Lakini chini ya hio speed, haijalishi kama ni jointed and continous...
Angalia hii video, hio treni ya pili inasonga at 180km/hr juu ya Jointed track, pia hio treni ya mwisho kabisa

Ukiangalia kwa hii picha ya kichwa cha SGR Kenya, utaona imeandikwa kwa mkono max speed 158km/hr, Hii hua inaandikwa baada ya treni kupimwa juu ya reli itakayotumika na inaandikwa hapo kwa mlango ili dereva ajue hio ndo Maximum speed ya hio treni ,....
wp_ss_20170504_0001-png.504503
Maneno mengi ila hamna jipya! Ndiyo maana nika kwambia umeme au diesel ni namna ya kupower engine ww una anza kufafanua nilicho kieleza! Hivi unajua kuna diesel trains zinaenda mpaka over 200km/hr achilia mbali zinazo enda 160km/hr. Mchina amewaletea zinazo enda 110km/hr kwasababu anajua alicho kijenga. Nyie endeleeni kujiongelesha yasiyo wezekana.
 
Ni kampuni gani za kiserekali ambazo unaweza kusema zimeendeshwa vizuri hapo Tanzanzania kiasi cha kua mfano mzuri Africa nzima????? Ethiopia wako na kampuni za stima ambazo zinazalisha umeme mata tatu zaidi ya Tz, wako na kampuni ya serekali ya Mawasilianao ambayo ina tosheleza mahitaji ya 90million population.. Ethiopian Airline ndo National carreir pekee Africa nzima ambayo inapata faidazaidi ya $100m kwa mwaka............ Hawa ndo watu walikua wanafaa waendeshe SGR yao vizuri zaidi kushinda nchi zengine hapa Africa manake wanajua kuendesha kampuni za kiserekali

Ukiwa mtaalam wa kitu fulani sio kwamba ww ni mtaalamu wa kila kitu.

If you know geography is not necessarily to know physics
 
Maneno mengi ila hamna jipya! Ndiyo maana nika kwambia umeme au diesel ni namna ya kupower engine ww una anza kufafanua nilicho kieleza! Hivi unajua kuna diesel trains zinaenda mpaka over 200km/hr achilia mbali zinazo enda 160km/hr. Mchina amewaletea zinazo enda 110km/hr kwasababu anajua alicho kijenga. Nyie endeleeni kujiongelesha yasiyo wezekana.
Nimeshasema kwa comment yangu kua fastest diesel train n 217km/hr ambayo iliundwa nawajerumani, tena ilikua prototype. Umesemma mchina katuletea za 110km/hr kwasaabau anajua alichojenga.... Hebu sasa nionyeshe treni za diesel zinazoenda zaidi ya 200km/hr za kutoka China ambazo tungechukua badala ya hizi....

Alafu kitu ambacho kinaonyesha haujui unachokiongelea, Treni za Kenya hazikua after thought, Hata kabla SGR Kenya ianze kujengwa, mwaka wa 2012 ilikua tayari imeshatangazwa treni zitakua na speed gani... Hii ni kwasaabau mtu hua hanunui treni ya speed ya juu auya chini hivi hivi, Mwanzo unaangalia matumizi na mahitaji yako (mode of operation) alafu ndo unaamua treni itakua na speed gani hata kabla ujenge reli !!!!
 
Back
Top Bottom