Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #16,081
Kama mamtoni 😁Hivi msemo kama mbele maana yake nn?
View: https://youtu.be/m9z5IPEYht4?si=LCBl2iaPz4FkrriR
MY TAKE
SGR Uvinza-Msongati mkandarasi kutajwa Mwezi Mei!
Tungoje zile bullet trains zikianza ni mwendo wa kuwa-tag tena!Tumezua balaa kubwa sana, mi nacheka kwakua hii wanayoshobokea kwa sasa kwanza haiendi full speed halafu ni 3rd class hapa Tanzania, yaani ile mipini bado haijaanza kukinukisha. Itakuwa balaa!
Unawasikia wajinga huko Ghana wakishangilia ujinga "power, power"! Sipati picha hii ingekuwa kwetu😳
View: https://twitter.com/sayhameed/status/1782702753686360541
Tungoje zile bullet trains zikianza ni mwendo wa kuwa-tag tena!
Hii SGR train ya Tz mbona haina uchafu wa carbon kwenye roof kama zile za jirani? 😁