Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania


View: https://youtu.be/m9z5IPEYht4?si=LCBl2iaPz4FkrriR


MY TAKE
SGR Uvinza-Msongati mkandarasi kutajwa Mwezi Mei!


Tumezua balaa kubwa sana, mi nacheka kwakua hii wanayoshobokea kwa sasa kwanza haiendi full speed halafu ni 3rd class hapa Tanzania, yaani ile mipini bado haijaanza kukinukisha. Itakuwa balaa!

Unawasikia wajinga huko Ghana wakishangilia ujinga "power, power"! Sipati picha hii ingekuwa kwetu😳

View: https://twitter.com/sayhameed/status/1782702753686360541
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee...!
IMG_20240425_122153.jpg
 
Back
Top Bottom