Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Akili zako zimepitwa na wakati🙂
 
Utabakia kuonesha treni za watu tuu zilizoenda shule. Tuwekee kibwagizo kdg basi cha lile nginjangija tucheke kidogo.
😂😂😂 kuna lipuuzi limoja lilivuka mipaka na kuanza kuleta nyimbo za China na Japan. nikamwambia akome kabisa na akae mbali na Japan maana sio rika lake, akabishane na Burundi ndio wanaendana. sasa ndio najaribu kumueka sawa hapa hapa karibu, bara la Afrika. haina haja aende mbali.
 
I cannot concur na mawazo ya kipunguani. Wewe hauko sawa naona kunya kwenye mfuko wa nylon kumekuathiri sana.
mukikosa hoja, munaanza kurusha mitusi 🤣🤣🤣🤣🤣
ww nilikwambia uache kuota ndoto za mchana, ukaniskiza. jana naamini ulikuwa sober kabisa ukakubali maneno yangu. sasa leo..... 😂😂😂
 
mukikosa hoja, munaanza kurusha mitusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ww nilikwambia uache kuota ndoto za mchana, ukaniskiza. jana naamini ulikuwa sober kabisa ukakubali maneno yangu. sasa leo..... [emoji23][emoji23][emoji23]
Your current mental state is worrisome.
 
Tanzania kweli ni wanaume yani walikaa mataifa 4 ya kichovu wakatengeneza ngombe mgonjwa CoW mpaka leo hajazaa ila mwamba mmoja wa kusini katandika reli kote sio ziwa victoria wala Tanganyika tuu bali mpaka Burundi na RDC. Big up my country kweli JIDIPII yetu ni 200bn USD.
 
Wewe ni mkumbafu aliyeacha akili yako iendeshwe na wivu. Vimradi vya hovyo hovyo kama hivyo vya SGR Morocco 290km, South Africa 52km, Senegal 33km, Kenya 400km ndio vya passenger trains. Yetu ni both has mizigo ya ndani na nje ya nchi.

Hii mashine hapa chini bado iko Germany. Endelea kuumia.
 

Attachments

  • 1715438854927.png
    1,000.2 KB · Views: 4
waregeshee wajerumani double decker yao. ww ndio bado unajifanya kichwa ngumu wakati wenzako wote wameelewa. endelea kujifanya chizi
 
iko wapi?
 
tuliza akili yako uwache mapepe.
nataka uniambie ni nini inaendelea hapa na nani yuko na roho ya korosho 👇
 
Wewe ni mpumbavu kama source yako ya habari ni some controversial accounts za twitter zisizo na credibility zozote. Nikuulize, kwanini uamini hii account ambayo imeandika tu bila uthibitisho wowote kuback up hizo claims?
tatizo lako ni kuwa unajibu kwa hisia kali sana. punguza jazba dogo. coodip1 na Kosugi wote wananielewa na wanajua historia.
sasa nikuulize, how old are you?
hivi hujui kuwa miaka yote Tanzania imekuwa na wivu wa kike hadi kusababisha kuvunjika kwa EAC miaka ya sabini?
wacha mapepe.
 
Sidhani kama unaelewa sababu za kuvunjika kwa EAC miaka ya 1970s. Huna unaweza kunifundisha juu ya hilo.
Get lost!
 
Wivu wa kike nani kamzuia mwenzie access ya cargo flights?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…