Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
we jamaa boya sana. it seems you haven't been paying attention to the details...Ngoja upate elimu kidogo.
Tanzania Ina reli nyingi kuliko kenya
Projection ya 18 milion tons maanake Hiyo ni Sgr central corrridor alone kulingana na Mahitaji ya nchi husika DRC, Burundi , Rwanda na Uganda .
Mahitaji yakiongezeka reli haina limit ya kupitisha mizigo
Kuna central corridor mgr , Tazara southern corridor ya Zambia , plus trucks carrying cargo to Malawi and DRC Lubumbashi inakuwa almost 15 millions tons .
reli gani nyingi wakati ni Tazara na ile ingine miaka kumi saa ii inafeli 'test'?
usitake kuchanganya madesa, stick to Sgr.
kisha soko lenu ni la Burundi pekee. DRC, Rwanda, Uganda... hizo sahau.