Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ngoja upate elimu kidogo.
Tanzania Ina reli nyingi kuliko kenya
Projection ya 18 milion tons maanake Hiyo ni Sgr central corrridor alone kulingana na Mahitaji ya nchi husika DRC, Burundi , Rwanda na Uganda .
Mahitaji yakiongezeka reli haina limit ya kupitisha mizigo
Kuna central corridor mgr , Tazara southern corridor ya Zambia , plus trucks carrying cargo to Malawi and DRC Lubumbashi inakuwa almost 15 millions tons .
we jamaa boya sana. it seems you haven't been paying attention to the details...
reli gani nyingi wakati ni Tazara na ile ingine miaka kumi saa ii inafeli 'test'?
usitake kuchanganya madesa, stick to Sgr.
kisha soko lenu ni la Burundi pekee. DRC, Rwanda, Uganda... hizo sahau.
IMG_20240507_002516.jpg
IMG_20240507_002333.jpg
 
Na hizo kms za kupisha umeweka wapi ?
550 kms ni umbali Halisi wa Dar to makutopora bila kujumlisha umbali wa trucks za kupishana ambapo Jumla yake ni 750 + kms .
🤣🤣🤣🤣🤣 we chizi kweli.
 
Ndoto za abunuwasi Northern Corridor SGR haitakaa ifike Rwanda wala RDC maisha. You have to learn to live with that reality
we jamaa boya sana. it seems you haven't been paying attention to the details...
reli gani nyingi wakati ni Tazara na ile ingine miaka kumi saa ii inafeli 'test'?
usitake kuchanganya madesa, stick to Sgr.
kisha soko lenu ni la Burundi pekee. DRC, Rwanda, Uganda... hizo sahau.
View attachment 2988910View attachment 2988914
 
This is a dead project from the beginning 🤣🤣🤣🤣
 
Ndoto za abunuwasi Northern Corridor SGR haitakaa ifike Rwanda wala RDC maisha. You have to learn to live with that reality
nilishakwambia, sio mm niliochagua. Ugandans have already decided, and so are Rwanda, Burundi, Drc, SS..... wote wameona kuwa the Kenyan route is the way to go. tried, tested and proven.
hii reli ingine ya 'centro' ni mdebwedo tupu. testing mtu unafanya miaka kumi 🤣🤣🤣. wacheni kuzingua!
IMG_20240507_001503.jpg
 
😂😂😂 Ugandans have seen the light.
IMG_20240513_125348.jpg
IMG_20240513_125603.jpg

signed and sealed. wale wengine wa kufunga na kufungua mipaka... endeleni hivyo hivyo na roho zenu kama korosho 👇
GNcrCWbXMAAgRQE.jpeg
 
We mungiki Njoo ushangae treni ya umeme achana na gari moshi .
Kushangaa bure .
leo imeenda ruti ngapi? mutashangaa mukija ipata imejawa kutu. endeleeni kutesti miaka nenda rudi wakati sisi huku tunachana mbuga
 
Back
Top Bottom