Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Huku Kazi inapigwa Kenya endeleeni na siasa
Ivi mkuu hii ni story za kisiasa au uhalisia? Sasa ivi tunaskia Mkandarasi amesimamisha wafanyakazi wote lot 3 alafu wewe unasema mradi utaisha mwaka 2026 wakati hata 20% ya mradi haijafika? Au hiki kitu haujui? Au unakua kama mbuni anaejificha kichwa huku kiwili wili chote kipo nje?
 
hawa wanaishi kwenye ndoto/ dreamworld/ fantasyland/ slumberland/ imagination... e.t.c. yamekuwa kama mazombie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. machawa grade 1. hawataki kabisa kukubaliana na reality on the ground
 
Yani nchi zao sio kubwa kivile kutoka kigali mpk rusumo ni 100km.
Kutoka kigali mpk gisenyi mpk wa congo ni 100km , kwa makadilio sasa vipi kuna uhitaji wa treni za ability kweli hapo distance ndogo kabisa hizo,
 
Hivi Jamani rwanda na Burundi wataitaji treni za abilia kweli maana kutoka mpka mpk kwenye mji mkuu ni 100km tuu. Hii imekaaje?
mkuu! ondoa shaka kuhusu hilo! cheki hapa route watakayotumia Burundi... strategic points only... iwe cargo au passengers,,, wako sorted πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…