Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mchina atajenga kwa kutoa msaada au inakuwaje?
Mchina labda afanye ukarabati wa reli ya Tazara. Sgr sahau ndugu yangu..... hukuskia sababu alizozitoa M7 wakati alipoipiga chini reli ya Tanzania na kuikumbatia reli ya Kenya??? 🤣
 
"tutajenga kwa feza zetu za ndani!!!"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchina labda afanye ukarabati wa reli ya Tazara. Sgr sahau ndugu yangu..... hukuskia sababu alizozitoa M7 wakati alipoipiga chini reli ya Tanzania na kuikumbatia reli ya Kenya??? 🤣
Hivi Kenya ameshajenga reli ya naivasha to Malaba au ni ndoto nzuri za mchana Uganda na Kenya wanaota?
Usilete story za kusaini mikataba wakati mfuko ni empty !
Sgr ya Tanzania ipo asilimia fulani sgr ya Kenya na Uganda mkandarasi hayupo site ,ela hakuna na hawajaanza
 
Kwa hii uliopost,wacha nisadikishe sasa hivi Tanzania inapiga mbio za sakafuni zinazoishia ukingoni.
Huyu mama katurudisha sana nyuma.
Si ajabu yote hayo yakatokea kama jamaa anavyosema.
thanks for finally seeing the light bro. it's been a long time coming.
 
thanks for finally seeing the light bro. it's been a long time coming.
Kwenye ukweli lazima tuzungumze ukweli.
Mfano hiyo TTCL ilianza kuleta shida 2022 na ndio ishakufa kabisa.
Mwendo kasi ujenzi wa kuelekea Gongo la mboto lile eneo toka mwaka juzi limechimbwa na kuharibiwa ila ujenzi wa kusuasua.
Na hata hii SGR kama hatutatafuta watu makini wa kuiendesha basi inakwenda firisika,maana kama MGR tu route alizozifufua Magufuli zingine zishaanza kufa tena na ufanisi wa MGR umepungua,kama mwaka huu mwanzoni watu wankaa station siku nne treni haijaja kwa ratiba iliyopangwa.
Je hiyo SGR itakuaje aisee.

Bongo sasa hivi ni sawa na BURUNDI in all aspects a truth to be told.

Hiyo ni kuhusu miradi.
Ukija katika maisha ya raia biashara ngumu mzunguko wa pesa mgumu aisee.
Ukijipata ufanye biashara ukiingia katika anga za serikali kuna walafi wanaotaka cha juu laa sivyo biashara zako zitaenda mrama,mimi limenikuta mwaka huu April mtu anadai leseni sehem ambayo kodi/VAT ishakatwa kwa kibali,kisa tu sijammegea pande.
Huduma za kijamii zimerudi kuwa mbovu tena kama 2015 kushuka chini.
Vitu vinapanda panda hovyo tu pasi na kueleweka,gharama za maisha ziko juu bongo,IMAGINE HADI VOCHA IMEPANDA BEI,UKITAKA VOCHA YA 1K UONGEZE 100 TZSH aiseee!!

Tunabishana bure tu ila Tanzania ina hali ngumu kama Burundi tu.
 
Hizi train according to TRC zinaweza tembea mpaka 205km/hr
unawania Dodoma au Mukatupora ili iweje sasa??
Mombasa - Nairobi - Naivasha... makes sense. hopping from one City to another. hebu cheki 👇
 
tunaangalia mizigo!!! tani ngapi unabeba. isiwe unabeba empty containers kisha unakuja kukenua meno hapa.
A rolling stock has 2 boggies each with 2 axles making a total of 4 axles.
Now a rail that can carry 25 tons per axle means a maximum load of 100 tons per rolling stock while a rail that can carry 35 tons per axle means a maximum load of 140 tons per rolling stock.

A tain length of 2km with 140 tons per rolling stock and a train of 800 metres with 100 tons per rolling stock which carries more cargo?

Kwenye speed naona tusifike huko maana speed contributes directly to a higher turnaround times.

Je ni train ipi kati ya hizi mbili inayobeba mzigo mwingi?

Jibu kama msomi uletee heshima elimu yenu.
 
Sentensi ya mwisho itakua Changamoto kwake😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…