Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Seven years running.... still going strong πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ

wengine walijaribu kuiga, mwaka wa kumi sasa, wako wapi???
 
hii habari imenisikitisha sana, sana, tena sana......! hivi inakua kuaje hadi unauza raslimali za nchi?
 
tujikumbushe kidogo tu tulipotoka maana tumetoka mbali sana πŸ‘‡
 
Ujinga wa Samia Suluhu usiharibu jitihada za Magufuli.
Reli ya SGR kwa kiasi kikubwa pesa za ndani zilitumika.
Ila tujiulize Samia anaendeshaje mambo mpaka anakopa pesa zaidi ya watangulizi wake na miradi haikamiliki!?
Maana ndani ya miaka 3-4 kakopa pesa sawa na watangulizi wake waliokopa ndani ya miaka 10.
Pesa zinaenda wapi!?
Na mbona marehemu hakukopa sana na miradi ikawa inaenda!?
Magufuli is Magufuli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…