Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Twende mama2025,anpiga mwingi
Ndio msemo wao maarufu siku hizi
Naam!"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Ujinga wa Samia Suluhu usiharibu jitihada za Magufuli.aiseeeee 🤣🤣🤣🤣🤣. watu pumzi zimeisha kabisa. wanaususia uzi huu hawajui wafanye nn 🤭🤭🤣🤣🤣
na niliwaambia lakini wakakataa kuniskiza... haya ona sasa 👇
View attachment 3009633
View attachment 3009634
View attachment 3009635
Chinese Shaolin temple in Africa 🤣🤣🤣🤣
What the Serbians got in comparison to Kunyaland
View: https://youtu.be/cHuRwlh29Rs?si=ZX8EQ-nuZwnReVIf
Walitengenezwa Mafalamanga yaani ni wao na Nigeria tu walipewa mitambo ya Gongo at exorbitant prices!Fukara ni fukara tuu 😬
karibu tena 😂😂. Juni tar. 14, usitoroke tafadhali. mambo mazuri yanakuja 🤫Chinese Shaolin temple in Africa 🤣🤣🤣🤣
where is ur PAX train? Leta tufanye comparison!