Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nakumbuka train ya kenya wafanyakazi wa ndani wale akina dada walifundishwa na wachina
Nimeshangaa sana yani kugawa juice tu ndani ya train wanafundishwa na wachina.

Huku kwetu dadaz wetu hawajafundishwa na raia wa kigeni.

Yani hata train ya kenya for the first time ziliendeshwa sana na wachina mpk safari zinaanza wachina walikuwepo wanacontrol mitambo.

Ila yetu huku tofauti kidogo
 
Sisi tunajitambua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…