Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Machache ninayoyaona kwenye sgr, toka moro kwenda dar.

Kwanza warekebishe mfumo wao wa ukataji tiketi kuna ka changamoto website yao kuna muda huipati, na unakata siti 4A, Kisha inakuja kuonekana ni namba 10 badala ya 4A.
Halafu waachane na masuala ya kuprint ticket, mie nishakata ticket online naambiwa ni print trna mkaratasi, mambo ya hovyo haya

Pili wabongo tujifunze/tupendelee kukata tiketi online, masuala ya dirishani yamepitwa na wakati, mpaka treni inakaribia kuondoka watu wengi hawana tiketi imebidi wapande hivyo hivyo wanakuja kukatia ndani ya treni huu ni uhuni.

3 hapa sijui mie ni mshamba, nimezoea treni ya deluxe ile na mabasi, hata ile ya tazara, viti vilivyokaa unapotizama mbele ndio uelekeo wa treni, sasa humu nimekaa siti zinaangalia mbele, kisha treni inakwenda nyuma, kama navutwa vile 🤣😂😂

Muda wa kuondoka tumeondoka muda ule ule ulioandikwa, sijajua muda wa kufika tutashare.
 
Ulete mrejesho ukifika mkuu
 
Mimi naona Masanja anapwelea viatu vya management!
 
Tuliondoka Morogoro saa 2:50 asubuhi na dar es salaam tumefika saa 10:35. Wamefanya vizuri kwenye suala la muda.
 
Dua la kuku halimpati mwewe 🤣🤣🤣
time will tell....
IMG_20240510_123011.jpg
 
Back
Top Bottom