Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kesho nikiwepo hayo maeneo nitapiga picha afu niwatumie sawa,
Nitaonyesha na muda kabisa.

Maana mda wa TRC unasema kutoka moro ni saa 2:50 asubui na kufika dar ni saa 4:39 asubui.

Ila mimi nimeliona hapa gongolamboto saa 4:28 asubuhi,
Linawahi treni.

Kesho nikiwepo nitapiga picha.
 
Back
Top Bottom