Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Lewis254
Sikiliza treni halina mngurumo/msauti/makelele/Fujo mingi kama lenu 😃😃😃😃
Your browser is not able to display this video.
 
Watu wanalazimika kutumia makaravati ya maji ili kuvuka hii ni hatari kwa watoto nyakati za masika,ni Bora waweke vyuma ili kuzuia watu kupenya sababu hawakufikiria kuweka vivuko vya waenda kwa miguu wao waliipa kipaumbele treni tu bila kuangalia watu watavukaje ili watu kufata huduma za kijamii.
Mainjia wetu wao wanakaa masaki osterbay bunju na mbezi adha ya uzio sio sehemu ya maisha yao.
Walishindwa vipi kuweka box za kuvukia upande wa pili chini ya reli kwenye mapitio ya asili ya watu mfano wa haya kwa kuinua reli na kuweka haya mabox ili watu na bodaboda vipite gari zikazunguke darajani.
 

Attachments

  • Pedestrian-Tunnel-Timelapse-Video-1.png
    2.1 MB · Views: 3
  • Underpass_NorthEnd.jpg
    1.2 MB · Views: 3
  • 1674939-628447.jpg
    89 KB · Views: 3
Tuta wangiinua juu kidogo ili watu wapite chini
 
Kuna sehemu nimeona mpaka kokote zinatoka za reli kisa watu wanapita

Hapo ni gongolamboto watu wanavuka juu ya SGR.

 
Kuna sehemu nimeona mpaka kokote zinatoka za reli kisa watu wanapita
View attachment 3022286
Hapo ni gongolamboto watu wanavuka juu ya SGR.

View attachment 3022287
Wangeweka box za kuvukia chini ya reli hakuna mtu angepita juu ya reli.
Mbona mifugo mbugani imewekewa mabox ya kuvukia walishindwa nini kuweka mjini ili kulinda huo uzio.
Wanadhani mswahili utamdhibiti kwa uzio ngoja huo mradi uishe watakata sana vipenyo vya kuvukia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…