Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Huwa unanichekesha sana😎kalie mbali sana na mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa unanichekesha sana😎kalie mbali sana na mm
Yuko desperate!Huwa unanichekesha sana😎
Bado tu unaokoteza?😁
Ok nimeona wanaweka nguzoView attachment 3022224
Gongolamboto wangeweka uzio upande wa pili sasa saa 10:00 treni linaondoka kule watu wanakaa tuu kwenye reli
Nguzo hizoOk nimeona wanaweka nguzo
Mswahili hazuiliwi na uzio wajifunze daraja la manzese na buguruni uzio tena wa vyuma ukatwa kila wakiwekaView attachment 3022224
Gongolamboto wangeweka uzio upande wa pili sasa saa 10:00 treni linaondoka kule watu wanakaa tuu kwenye reli
Tuta wangiinua juu kidogo ili watu wapite chiniWatu wanalazimika kutumia makaravati ya maji ili kuvuka hii ni hatari kwa watoto nyakati za masika,ni Bora waweke vyuma ili kuzuia watu kupenya sababu hawakufikiria kuweka vivuko vya waenda kwa miguu wao waliipa kipaumbele treni tu bila kuangalia watu watavukaje ili watu kufata huduma za kijamii.
Mainjia wetu wao wanakaa masaki osterbay bunju na mbezi adha ya uzio sio sehemu ya maisha yao.
Walishindwa vipi kuweka box za kuvukia upande wa pili chini ya reli kwenye mapitio ya asili ya watu mfano wa haya.
Kuna sehemu nimeona mpaka kokote zinatoka za reli kisa watu wanapitaWatu wanalazimika kutumia makaravati ya maji ili kuvuka hii ni hatari kwa watoto nyakati za masika,ni Bora waweke vyuma ili kuzuia watu kupenya sababu hawakufikiria kuweka vivuko vya waenda kwa miguu wao waliipa kipaumbele treni tu bila kuangalia watu watavukaje ili watu kufata huduma za kijamii.
Mainjia wetu wao wanakaa masaki osterbay bunju na mbezi adha ya uzio sio sehemu ya maisha yao.
Walishindwa vipi kuweka box za kuvukia upande wa pili chini ya reli kwenye mapitio ya asili ya watu mfano wa haya.
Wangeweka box za kuvukia chini ya reli hakuna mtu angepita juu ya reli.Kuna sehemu nimeona mpaka kokote zinatoka za reli kisa watu wanapita
View attachment 3022286
Hapo ni gongolamboto watu wanavuka juu ya SGR.
View attachment 3022287
ili ukaibe nyoko wewe!Geza Ulole
Hizi zinakazi gani?
View attachment 3022294
View attachment 3022295
Nimeviona viwili vimefuatana.
Imeruka tabani kama 1 au mbili kisha kingine kinafuata.
Possibly train detection or position sensors.Geza Ulole
Hizi zinakazi gani?
View attachment 3022294
View attachment 3022295
Nimeviona viwili vimefuatana.
Imeruka tabani kama 1 au mbili kisha kingine kinafuata.
mpuuzi sana. tayari ameona diliili ukaibe nyoko wewe!
Track recorderPossibly train detection or position sensors.