Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

😊😊


i told ya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­πŸ‘‡


what kind of an embankment is this πŸ‘‡πŸ‘‡


satan!
 
Mfano hio nimescreenshoot kwenye video niliyorekodi leo.
embankment ni ndogo sana ni ngumu kuweka kivuko kwa chini.
 
Hio imetokea hivyo kwa sababu watu wanavuka kwa juu,
Ndo maana kuna mmoja hapo kasema sehemu zingine hawajajenga vivuko kwa mfano gongolamboto hawajajenga.
bongodili tele
halafu kumbuka mkandarasi naye alishaingia mitini kwahio itabaki kuwa hivyo. reli gani hii haina tuta la kueleweka??? week moja tu tayari na limeshaanza kudondoka? 🀣
 
Ile picha kulingana na ni kwa sababu watu wanavuka.

πŸ‘†Huu upande wa kushoto kama unaenda pugu.

πŸ–•Huu ni upande wa kulia kama unapoenda Pugu.

Hio ni kwa sababu watu wanavuka pale ndo maana kokoto zimeondoka. Na ni ngumu kuweka kivuko cha chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…