hapo ilikua November 2016Ikiwa mpyaa!
hapo ilikua November 2016
View attachment 3023119
ukiangalia vizuri hapo pahala paliposombwa utapata ndio kwanza ujenzi ulikua umefikia hapo na hilo tuta lilikuwa bado halijawekewa 'protection' yoyote... yani mkandarasi alipatikana akiwa 'off-guard' na mvua. kisha we huna macho? huoni culvert hapo kuashiria njia ya maji kupita?
hii mijitu iliyopo hapa ni misukule 😂😂😂 halafu ni ving'ang'anizi balaa. picha moja hio miaka kumi imepita bado wanaikomalia tu.Umetumia tena picha ya 2016 ambapo sgr ilikua inajengwa na kukawa na mafuriko..... Hata ukiañgalia slop protection ilikua bado.... Mmeshindwa kujibu maswali kabisa....
Geza UloleHao ndio wanaomomonyoa hizo sehemu kwani fencing bado huko au kuna kivuko cha juu cha magari kinajen gwa
Kwahiyo pale ukunyani kuna canopy roof ya urefu wa mabehewa 15! Incase of rain Hiyo treni inaweza kuwa-boarded from those few coaches with overhead roof!View attachment 3023238
View attachment 3023241
Hata iko juu hawakuangalia.
Mvua ikinyesha watu watapandaje, na watashukaje.
Au ndo ile wanapanda mabehewa yalioyoko shade board na kutembea ndani kwa ndani mpk behewa la mwisho.
Au ndo ile tutajifunza baada ya hali kutokea?.
#Rutomustgo😎hii mijitu iliyopo hapa ni misukule 😂😂😂 halafu ni ving'ang'anizi balaa. picha moja hio miaka kumi imepita bado wanaikomalia tu.
mi nawaonyesha picha ya leo leo 👇
View attachment 3023125
wamejenga tuta hafifu sana. ukilipiga teke linadondoka lote kisha fala mmoja ananiambia ndio itakayobeba 2km length of stupidity..... 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa ya kenya mi yanini mimi jimezungumza huku, kwa hio wakenya wakinyeshewa mvua na sisi iwe hivyo hivyo??Kwahiyo pale ukunyani kuna canopy roof ya urefu wa mabehewa 15! Incase of rain Hiyo treni inaweza kuwa-boarded from those few coaches with overhead roof!
umefanya vizuri sana. hio ndio anataka kufananisha na hiki kituko 👇
Treni ya mabehewa yasiyozidi 6!🤣🤣🤣🤣🤣 ni sample tu, kuonesha what a real canopy looks like 👇
View attachment 3023467
View attachment 3023468
View attachment 3023469
View attachment 3023470
View attachment 3023471
View attachment 3023472
View attachment 3023473
View attachment 3023474
ukweli ukianza kufichuka namna hii, katu hutomwona yule domokaya coodip1. hataki kujadili vitu vilivyopo, anataka tujadili mawazo yake/ vitu alivyoviota ndotoni. jamaa mmoja very bogus 🤣
Sasa kama mlijua treni yetu itabeba mabehewa 14 kwa nini msijenge?Treni ya mabehewa yasiyozidi 6!
Hamna roof ndefu namna hiyo platform zote duniani usiwe bwege! Only Ukunyani!Sasa kama mlijua treni yetu itabeba mabehewa 14 kwa nini msijenge?
Kwa hio mnageza duniani???Hamna roof ndefu namna hiyo platform zote duniani usiwe bwege!
Punguza hasiri maana naona tuu mara uniambie nitaiba, mara bwege. Ndo shida yenu.Hamna roof ndefu namna hiyo platform zote duniani usiwe bwege!
Kila behewa Lina milango mbele na nyuma kuwezesha kuingia na kutoka behewa lingine! Again wacha ubwege!Punguza hasiri maana naona tuu mara uniambie nitaiba, mara bwege. Ndo shida yenu.
Kwa hio watu wa UK , India, France huko wakinyeshewa na mvua na wetu huku wanyeshewe??
Urefu wa mabehewa sita Hapo!Sasa ya kenya mi yanini mimi jimezungumza huku, kwa hio wakenya wakinyeshewa mvua na sisi iwe hivyo hivyo??
Nimeona mpk dodoma hivyo hivyo.
View attachment 3023435
View attachment 3023436
View attachment 3023437
Mabehewa 14 yanatosha hako kaeneo.
Si mabehewa 3 tuu. Mengine yote yapo nje.
Kuna makosa madogo madogo hamtaki kukubali.
Kama mlijua kuwa kutakuwa na tteni la mabehewa 14 kwa nini msingeweka ???