Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wewe nyang’au wa kibongo mbona unasumbuka sana na sgr ya Tz?😎😁
#Rutomustgo.
picha zinatumwa sasa. mulijenga reli usiku usiku na ndani ya misitu, tukiwaambia mutume hata kapicha kamoja ka mita mbili pekee munarusha mitusi.
sasa angalia, very poor finishing, hakuna tuta la kueleweka, hakuna slope protection, hakuna mitaro, hakuna fence,,, hizi hakuna ni nyingi sana!! all in all, you get what you paid for 👇


 
ni ubishi tu wa watu hiyo sehemu ya soko mita kama 50 au 70 panakalavati kubwa tu pikipiki na watu wanipita bila shida ni gali tu ndo aliwezi pita shida yake kipindi cha mvua linajaa maji watembea kwa mguu hawawezi pita ila pikipiki zinapita vizuli nitatizo dogo tu wanaweza chimba mfeleji maji yakaenda
 
Leo jioni nilipita naenda maskani nikaona hilo 👇 wameziba.

Nimepita jioni watu wakaniambia wameziba.👇 nilipoenda upande wa pili ndo nikaona haya.

Sasa wameziba ila watu tunapita kwenye toba maana sio sehemu ya kuvukia ni too tuu sasa mvua ikinyesha pale panajaa maji sana.
 
Now hakuna mtu anayepita ila mpk kesho au kesho kutwa kutakuwa na fensi pale.
 
Na ni kweli ni kalawavati maana hali yake ni hii mkuu👇
 
Pikipiki wamekataza kupita ndo maana unaona wameweka magogo hakuna boda kupita kwa sababu watu ni wengi.
Sasa kama ulivyosema ikija mvua linajaa maji kama mwanzoni mwa mwaka huu maji yalijaa mpk wakafungua pale nafikili maana waliziba mara ya kwanza , sasa msimu wameziba ,
Ikija mvua Pakajaa maji sijui itakuwaje. Maana Kalavati lenyewe ni kama bonde hivi flani, maji yanatuwama pale.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…