Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Arema
IMG_20240623_150819.jpg

Vs Chinese Class 1 Standard
1542136184810.png
 
Wewe nyang’au wa kibongo mbona unasumbuka sana na sgr ya Tz?😎😁
#Rutomustgo.
picha zinatumwa sasa. mulijenga reli usiku usiku na ndani ya misitu, tukiwaambia mutume hata kapicha kamoja ka mita mbili pekee munarusha mitusi.
sasa angalia, very poor finishing, hakuna tuta la kueleweka, hakuna slope protection, hakuna mitaro, hakuna fence,,, hizi hakuna ni nyingi sana!! all in all, you get what you paid for 👇
IMG_20240623_150819.jpg

20240621_155727.jpg

IMG_20240622_135915.jpg
 
Yah wafanye sio Geza Ulole unakataa mara ni picha ya zamani mara si TZ.
Leo nimeona hata nguzo zipo kwa ajiri ya fensi
View attachment 3023876
View attachment 3023877
Mradi mzuri.

Hata mimi naona treni mzuri sana tena inatumia technology kubwa hata kuliko ya kenya.
ni ubishi tu wa watu hiyo sehemu ya soko mita kama 50 au 70 panakalavati kubwa tu pikipiki na watu wanipita bila shida ni gali tu ndo aliwezi pita shida yake kipindi cha mvua linajaa maji watembea kwa mguu hawawezi pita ila pikipiki zinapita vizuli nitatizo dogo tu wanaweza chimba mfeleji maji yakaenda
 
Leo jioni nilipita naenda maskani nikaona hilo 👇 wameziba.
20240621_155724.jpg

Nimepita jioni watu wakaniambia wameziba.👇 nilipoenda upande wa pili ndo nikaona haya.
20240623_154139.jpg

Sasa wameziba ila watu tunapita kwenye toba maana sio sehemu ya kuvukia ni too tuu sasa mvua ikinyesha pale panajaa maji sana.
 
Now hakuna mtu anayepita ila mpk kesho au kesho kutwa kutakuwa na fensi pale.
 
ni ubishi tu wa watu hiyo sehemu ya soko mita kama 50 au 70 panakalavati kubwa tu pikipiki na watu wanipita bila shida ni gali tu ndo aliwezi pita shida yake kipindi cha mvua linajaa maji watembea kwa mguu hawawezi pita ila pikipiki zinapita vizuli nitatizo dogo tu wanaweza chimba mfeleji maji yakaenda
Na ni kweli ni kalawavati maana hali yake ni hii mkuu👇
20240623_154437.jpg
 
ni ubishi tu wa watu hiyo sehemu ya soko mita kama 50 au 70 panakalavati kubwa tu pikipiki na watu wanipita bila shida ni gali tu ndo aliwezi pita shida yake kipindi cha mvua linajaa maji watembea kwa mguu hawawezi pita ila pikipiki zinapita vizuli nitatizo dogo tu wanaweza chimba mfeleji maji yakaenda
Pikipiki wamekataza kupita ndo maana unaona wameweka magogo hakuna boda kupita kwa sababu watu ni wengi.
Sasa kama ulivyosema ikija mvua linajaa maji kama mwanzoni mwa mwaka huu maji yalijaa mpk wakafungua pale nafikili maana waliziba mara ya kwanza , sasa msimu wameziba ,
Ikija mvua Pakajaa maji sijui itakuwaje. Maana Kalavati lenyewe ni kama bonde hivi flani, maji yanatuwama pale.
 
Pikipiki wamekataza kupita ndo maana unaona wameweka magogo hakuna boda kupita kwa sababu watu ni wengi.
Sasa kama ulivyosema ikija mvua linajaa maji kama mwanzoni mwa mwaka huu maji yalijaa mpk wakafungua pale nafikili maana waliziba mara ya kwanza , sasa msimu wameziba ,
Ikija mvua Pakajaa maji sijui itakuwaje. Maana Kalavati lenyewe ni kama bonde hivi flani, maji mmamyanatuwama pale.
 
Back
Top Bottom