Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Aiseee hivi hii reli inapita wapi wadau sijawahi kuiona
wala usitamani kuiona kaka. mimi toka niione hapa baada ya mdau mmoja kupost picha kutoka maeneo ya Gongo La Mboto toka io siku naskia kutapika ๐Ÿคฎ
 
endelea kujifanya chizi
 
Kwa hiyo kama ni hivyo tusifanye kitu chochote kile kwa sababu kila kitu kitajifia tu. Akili gani hiyo?๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜‰
Kweli wewe ni magonjwa mtambuka, na hayo magonjwa yameathiri ubongo wako, wapi nimesema pasijengwe?
 
Hio imeandikwa according to gvn, walivyosema na vyombo vya habari vyote wakasema hivyo.
Usiwe kama unable wa mfinyu.
Na ile ulioletwa imeandikwa according to who!?
Hivi unajua BBC wana correspondents hapa Tanzania!?
Naona nabishana na much know wacha nikuache.
Jifunze kwanza tofauti ya habari na propaganda,usinipotezee muda.
 
Badala ya kubolesha hospital za huku, wanaacha mpk tukaumbuka.
Hospitali gani haijaboreshwa!?
Hivi unajua kuna Wakenya huvuka mpaka kuja kutibiwa Tanzania!?
Ingekua hospitali hazijaboreshwa Lowassa angepelekwa JKCI kutibiwa!?
 
Najifanya chizi ama nazungumza ukweli!?
Kenya mna government cardiac institute kubwa kama ya JKCI!??
Hospitali zenu nzuri zote za PRIVATE.
Hata private hawana cardiac institute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ