Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
wala usitamani kuiona kaka. mimi toka niione hapa baada ya mdau mmoja kupost picha kutoka maeneo ya Gongo La Mboto toka io siku naskia kutapika 🤮Aiseee hivi hii reli inapita wapi wadau sijawahi kuiona