Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Aiseee hivi hii reli inapita wapi wadau sijawahi kuiona
wala usitamani kuiona kaka. mimi toka niione hapa baada ya mdau mmoja kupost picha kutoka maeneo ya Gongo La Mboto toka io siku naskia kutapika 🤮
 
Hapa Afrika kwa masuala ya tiba ni Afrika kusini pekee ndio wanatuzidi.
Kama masuala ya mifupa MOI ni kitengo kikubwa cha mifupa Afrika mashariki na kati ni S.A tu wanatuzidi.
Kama kitengo cha moyo JKCI ndio kitengo kikubwa cha moyo na kilichofanya upasuaji mwingi uliofanikiwa baada ya za S.Afrika.
Hao Wakenya wenyewe wanakuja kupata matibabu huku.
endelea kujifanya chizi
 
IMG_20240704_005944.jpg

😂😂😂😂🤭
 
Kwa hiyo kama ni hivyo tusifanye kitu chochote kile kwa sababu kila kitu kitajifia tu. Akili gani hiyo?😎😉
Kweli wewe ni magonjwa mtambuka, na hayo magonjwa yameathiri ubongo wako, wapi nimesema pasijengwe?
 
Hio imeandikwa according to gvn, walivyosema na vyombo vya habari vyote wakasema hivyo.
Usiwe kama unable wa mfinyu.
Na ile ulioletwa imeandikwa according to who!?
Hivi unajua BBC wana correspondents hapa Tanzania!?
Naona nabishana na much know wacha nikuache.
Jifunze kwanza tofauti ya habari na propaganda,usinipotezee muda.
 
Badala ya kubolesha hospital za huku, wanaacha mpk tukaumbuka.
Hospitali gani haijaboreshwa!?
Hivi unajua kuna Wakenya huvuka mpaka kuja kutibiwa Tanzania!?
Ingekua hospitali hazijaboreshwa Lowassa angepelekwa JKCI kutibiwa!?
 
Back
Top Bottom