Mimi ni health care provider.
Najua hospital za serikali , asilimia kubwa ni mbovu , usilete uhongo.
Navyosema hivyo hasa kwenye Uduma.
Acha uwongo.
Mwimbiri tuu pale vitanda vichache.
Health care provider yupi?
Nurse,medical attendant,physician au nani?
Mie mwenye ni health care provider na nimetembelea hospitali nyingi tu hasa ikiwemo kitengo cha mifupa MOI na kitengo cha moyo JKCI.
Usinichukulie poa man.
Muhimbilii ina sekta mbili,binafsi na huduma ya jumla.
Ulishawahi tembelea upande wa huduma binafsi ukaona kukoje?
Pia ni mwaka gani huo ambao muhimbili vitanda havitoshi!?
Unaweza ukatuletea ushahidi mwaka huu ikisemekana muhimbili vitanda havitoshi!?
Acha kuongea uongo.
Narudia kukwambia upande wa moyo na mifupa hapa Afrika ni S.Afrika tu ndio wako mbele yetu.
Serikali ya Tanzania huu ukanda ndio imejitahidi kuboresha huduma za afya katika sekta ya serikali.
Kenya unayotaka kuisifia huduma bora za afya nguli ni sekta binafsi sio ya serikali.
Hiyo Kenya mwaka huu waliishiwa dawa za TB hospitali zao za serikali,TANZANIA NDIO ILIWASAIDIA KENYA DAWA ZA TB.
KAMA UKITAKA USHAHIDI NINAO NAKULETEA.
Kuishiwa baadhi ya vifaa ama kutosheleza inatokea kwasababu idadi ya watu kuongezeka.
Ila serikali inafanya hima kuweka vifaa vilivyokosekana ili kukidhi mahitaji.
Njoo na tambo ingine sio hii mkuu.