Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Umeshidwa kujibu kwa kuwa kama wewe kweli ni mtu wa afya.
Vingi wa hivyo vitu tuna kenya au Uganda.

Hata kuna kuna kipindi efavirenz tulikuwa tunatoa Uganda.
Upo hapo?
 
Nijibu ya kwangu hapo juu kwanza, nimekuuliza vingi tuu unakimbilia kuniambia sina fact?
 
Jamani maarifa ni kitu cha msingi sana, India wapo top 7 nchi zenye uchumi mkubwa na GDP kubwa dunia ila maisha ya watu wao ni magumu sana, kuna majaa mmoja alisoma India alisema wale ikifika jioni kuna barabara zingafungwa kwa ajili ya watu kulala. Watu ni maskini sana.
But GDP yao ni kubwa sana.

Utakuta mtu hata GDP hajui, ubishi mwingi.

Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi sana , tena na sana. Mwaka jana tulipata watalii 1,808,205.

Rwanda ni nchi ndogo sana mimi ninavyojua wana mbuga ya sokwe, tena na wasisi sokwe wenyewe inawezena waliba tuu congo tu.
Wana akagera park.
Pamoja na genocide memory tuu.

Ila mwaka jana walipata watalii million 1.4. Mwaka huu 2024 unatarijia kupata watalii million 1.6.

Wewe uhoni kuna shida na tunauchumi mkubwa kuliko hao
Mi yangu hayo.
 
Sishangai , hata USA big economy unaomba mkopo China.
Ni kawaida labda kwao huko walipata wagonjwa wengi wakaishiwa kwenye stock.
Sasa kufanya order kiwandani mpk wakufanyie production.
Inachukua muda.
Hivi unajua kama China ana dollar foreign reserve kubwa kuliko USA!?
Ukija upande wa China na US huko umeenda mlengwa mwingine.
Pia tofautisha mkopo na msaada.
Kenya zile dawa za TB hatujawauzia bali tumewapa,walikaa miezi miwili wakihangaika kuhusu hizo dawa.
Kama wangekua na ubavu ndani ya miezi miwili hiyo wangekua wameagiza nje kwa kununua.
Hebu kuwa serious jamaa dawa za TB ni dawa simple sana nchi kuishiwa kiasi ikaomba.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu una mengi ya kujifunza kuhusu uchumi.
East Africa anaeongoza kwa idadi ya watalii ni Kenya na Tanzania.
Anayeongoza mapato ya utalii ni Tanzania kulingana na thamani ya risiti za watalii.
Wanauchumi wenyewe walishakosoa kubwa GDP sio mfumo sahihi kupima uchumi wa nchi.
Mfumo wa GDP una kasoro kibao.
Hiyo Rwanda imeendelea Kigali tu bado ni nchi maskini sana,madaktari wao na askari wao huja bongo hapa kujifunza.
Na wana sekta nyingi bado hawajaendelea.
 
Umeshidwa kujibu kwa kuwa kama wewe kweli ni mtu wa afya.
Vingi wa hivyo vitu tuna kenya au Uganda.

Hata kuna kuna kipindi efavirenz tulikuwa tunatoa Uganda.
Upo hapo?
Tunatoa kwa kununua au kupewa!?
Bro you really have a poor reasoning wallahi.
Uganda na Tanzania nani ana huduma bora za afya!?
Kwa hiyo kisa tunanunua Uganda ndio tuseme Uganda wana huduma bora za afya!?
Mwaka huu tumepanga kununua gari za umeme kutoka Uganda kwaajili ya mwendo kasi,kwa hiyo Uganda wametuzidi sekta ya usafirishaji!?
Ukiwa hospitali kama daktari au DMO utauliza uhaba wa vifaa au vifaa vimetengenezwa wapi!?
Ndio maana nikakuuliza kinachotizamwa ni huduma bora za afya au vifaa vimenunuliwa wapi!?
Bro wasomi huwa hawa reason hivi,unatia aibu.
 
Nijibu ya kwangu hapo juu kwanza, nimekuuliza vingi tuu unakimbilia kuniambia sina fact?
Huna fact mzee.
WEWE KAMA HEALTH CARE PROVIDER UKIWA HOSPITALI UTAULIZA UHABA NA UTOSHELEZAJI VIFAA AU UTAULIZA VIFAA VIMETENGENEZWA WAPI!?
Hivi hujui hapo ushatoka katika sekta moja ya tiba na umeenda sekta ya viwanda!?
You can't be serious kaka.
 
Wana kiasi gani ? China reserves ya USD.
Ninajua sana .
Hivi unajua us wakitaka usd kwenda kununua vitu nje wanaprint tuu usd. ????
Unajua hilo???
 
Wana kiasi gani ? China reserves ya USD.
Ninajua sana .
Hivi unajua us wakitaka usd kwenda kununua vitu nje wanaprint tuu usd. ????
Unajua hilo???
Ni sawa useme sisi tukitaka kwenda kununua vitu kwa shilingi tuna print tu.
Hivi unajua pesa zinaprintiwa tu pasi na kanuni!?
Halafu ona unavyobisha vitu vya wazi,China ana dollar reserve kubwa kuliko USA kataa bisha.
 
Kingine naamini unaelewa kuwa unaweza kuwa na uchumi mkubwa lkn bado ukawa na shida nyingi sana .
Mfano Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή wanauchumi mkuwa sana kuliko hata sisi.
But raia wao wanakimbia kule life is hard.

Afu sipo hapa kushidana na kenya wewe ndo unanifanya nianze kufananisha TZ na kenya.

Ila tuludi kwenye uhaliasia wa maisha ya hapa kwetu Tz tuanche unafiki ya kenya yawe ya huko. Wewe mwenye sidhani hata kenya umewahi kufika? Okay any way sijui.

Unaweza ukawa na uchumi ukubwa ila still baadhi ya vitu ukawa huna.
 
Huna fact mzee.
WEWE KAMA HEALTH CARE PROVIDER UKIWA HOSPITALI UTAULIZA UHABA NA UTOSHELEZAJI VIFAA AU UTAULIZA VIFAA VIMETENGENEZWA WAPI!?
Hivi hujui hapo ushatoka katika sekta moja ya tiba na umeenda sekta ya viwanda!?
You can't be serious kaka.
Wewe ndo huna fact kabisa.
Eti unakaa kushinda nisha na kenya.
Wakati hata wewe kama wewe naamini shida nyingi tuu unazo.

Unataka mimi nikujibu wakati vyangu hujibu eboo
 
Kwenye uchumi wa kibepari,gdp siyo kipimo Cha economic welfare
 
Ni sawa useme sisi tukitaka kwenda kununua vitu kwa shilingi tuna print tu.
Hivi unajua pesa zinaprintiwa tu pasi na kanuni!?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Uoni kama unakataa hoja zako
 
Wewe ndo huna fact kabisa.
Eti unakaa kushinda nisha na kenya.
Wakati hata wewe kama wewe naamini shida nyingi tuu unazo.

Unataka mimi nikujibu wakati vyangu hujibu eboo
Bro pita kushoto naona unanipotezea muda.
Ngojea nirudi katika mada kuu,sibishani ujinga mimi.
Wewe kama umeelekezwa ukienda hospitali unauliza vifaa vimetengenezwa wapi badala ya vinatosheleza au laah hufai kuwa mtu wa afya.
I doubt your education.
Sijadili tena huu upuuzi.
 
Kwenye uchumi wa kibepari,gdp siyo kipimo Cha economic welfare
Kwani wamerekani ni akina nani?

Sisi wenyewe siasi za Kijamaa ni chazo kimoja chake cha umaskini.
Undo maana China Deng Xiaoping
Aliitoa china na akaleta wawekezaji kutoka nje.

Sasa za kijamaa zinafanya watu maskini sana.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Uoni kama unakataa hoja zako
Wewe umesema US akitaka kununua vitu nje ana print tu dollar,je pesa zinaprintiwa bila kanuni!?
Au hiyo kauli hujazungumza wewe!?
Kama US wanaprint tu dollar wanavyotaka wao kwanini CHINA ndio iongoze kuwa na dollar reserve kubwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…