Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

nimeshtushwa sana na kauli za wabongo humu ndani. mbongo mwenye akili timamu pekee hapa ni mr Dude. na wanamponda kila siku, kisa kawaumbua...
 
Hebu tafadhali tuwekee na sgr ya Kenya ikisafirisha mbuzi kwenye mabehewa ya abiria😎
Sgr ya Kenya imeunganishwa kimkakati. From City to City so ni nadra sana kuona mambo kama hayo.
Morogoro uchumi wake ni ukulima, hapo hutakosa mihogo, maembe, viazi tamu, mahindi... n.k tumia akili basi japo kidogo tu utafakari
 
Upuuzi mtupu kamanda.
 
City to city, r Athi River, Emali, Kibwezi, Mtito Andei, Voi, Miasenyi and Mariakani county stations cities? Na Ukiacha Nairobi na Mombasa nitajie cities nyingine!
 
Upuuzi mtupu kamanda.
ni upuzi kuwabagua na kuwatenga wakulima wadogo na maskini wengi walioko taifa hili. kumbuka hata yule mama aliye na begi lake la 'shangazi kaja' pia hela yake inaenda kutumika kulipia loni ya reli hii
 
Mbona hujaleta picha ya sgr ya nyang'au inayokubali mbuzi, mihogo na kuku kupandishwa au huna?😎
 
Ukiweka standards kwenye nchi yenye maskini wengi kama hii itakuwa umeamua kuwabagua tu. Hizo standars kwa nchi hii ni za walio wachache sana, wengine tuendelee na mabasi yetu tu au reli ya kati.
Mtu utapokelewa nini na wenyeji wako hapo DSM, tulishazoea kubeba kuku, bata, mahindi mabichi, mchele, maharage, maboga, kisamvu, samaki wakavu n.k. Hii sasa imeshakuwa ngumu kwa kweli.
Exactly my sentiments brother!!! wanataka kuua desturi na tamaduni zetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…