Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Muulize kaka yako BoniYai kamanda😎😎sasa lile begi lako la 'shangazi kaja' limekosa nini hadi walipige marufuku. mihogo yako pamoja na miwa utaibebaje kuja nayo dar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize kaka yako BoniYai kamanda😎😎sasa lile begi lako la 'shangazi kaja' limekosa nini hadi walipige marufuku. mihogo yako pamoja na miwa utaibebaje kuja nayo dar?
inaonekana BoniYai alikufanyia kitu mbaya sana 😂😂Muulize kaka yako BoniYai kamanda😎😎
Kumbe na wewe ni mtanzania? Ha ha ha😎😎ni asili yetu sisi Watanzania...
bhana 🤣🤣Kumbe na wewe ni mtanzania?😎😎
Mwishowe umejileta mwenyewe😎bhana 🤣🤣
wapi huko?Mwishowe umejileta mwenyewe😎
Huku.😎wapi huko?
Sgr ya Kenya imeunganishwa kimkakati. From City to City so ni nadra sana kuona mambo kama hayo.Hebu tafadhali tuwekee na sgr ya Kenya ikisafirisha mbuzi kwenye mabehewa ya abiria😎
Upuuzi mtupu kamanda.Sgr ya Kenya imeunganishwa kimkakati. From City to City so ni nadra sana kuona mambo kama hayo.
Morogoro uchumi wake ni ukulima, hapo hutakosa mihogo, maembe, viazi tamu, mahindi... n.k tumia akili basi japo kidogo tu utafakari
City to city, r Athi River, Emali, Kibwezi, Mtito Andei, Voi, Miasenyi and Mariakani county stations cities? Na Ukiacha Nairobi na Mombasa nitajie cities nyingine!Sgr ya Kenya imeunganishwa kimkakati. From City to City so ni nadra sana kuona mambo kama hayo.
Morogoro uchumi wake ni ukulima, hapo hutakosa mihogo, maembe, viazi tamu, mahindi... n.k tumia akili basi japo kidogo tu utafakari
Halafu hiyo treni ni copy of SGR Ukunyani!Hebu tafadhali tuwekee na sgr ya Kenya ikisafirisha mbuzi kwenye mabehewa ya abiria😎
ni upuzi kuwabagua na kuwatenga wakulima wadogo na maskini wengi walioko taifa hili. kumbuka hata yule mama aliye na begi lake la 'shangazi kaja' pia hela yake inaenda kutumika kulipia loni ya reli hiiUpuuzi mtupu kamanda.
we jamaaa basi tuni upuzi kuwabagua na kuwatenga wakulima wadogo na maskini wengi walioko taifa hili. kumbuka hata yule mama aliye na begi lake la 'shangazi kaja' pia hela yake inaenda kutumika kulipia loni ya reli hii
Mbona hujaleta picha ya sgr ya nyang'au inayokubali mbuzi, mihogo na kuku kupandishwa au huna?😎ni upuzi kuwabagua na kuwatenga wakulima wadogo na maskini wengi walioko taifa hili. kumbuka hata yule mama aliye na begi lake la 'shangazi kaja' pia hela yake inaenda kutumika kulipia loni ya reli hii
Ukiweka standards kwenye nchi yenye maskini wengi kama hii itakuwa umeamua kuwabagua tu. Hizo standars kwa nchi hii ni za walio wachache sana, wengine tuendelee na mabasi yetu tu au reli ya kati.
Exactly my sentiments brother!!! wanataka kuua desturi na tamaduni zetu??Mtu utapokelewa nini na wenyeji wako hapo DSM, tulishazoea kubeba kuku, bata, mahindi mabichi, mchele, maharage, maboga, kisamvu, samaki wakavu n.k. Hii sasa imeshakuwa ngumu kwa kweli.
🤣🤣🤣Jamani hadi madela?... 😂😂😂
Daah!