Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

🙊🙊🙊
GSxe1d6WgAAAFfC.jpeg

braza KOMANDO YOSO funga mkanda
 
Sasa ya kenya mi yanini mimi jimezungumza huku, kwa hio wakenya wakinyeshewa mvua na sisi iwe hivyo hivyo??
Nimeona mpk dodoma hivyo hivyo.
View attachment 3023435
View attachment 3023436
View attachment 3023437
Mabehewa 14 yanatosha hako kaeneo.

Si mabehewa 3 tuu. Mengine yote yapo nje.
Kuna makosa madogo madogo hamtaki kukubali.

Kama mlijua kuwa kutakuwa na tteni la mabehewa 14 kwa nini msingeweka ???
Wao wanasema yao ni SGR ndani ya jengo yetu ndio canopy kwa hivo yao ni bora. 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom