Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unafikiri hivyo vipicha ndiio vitanidanganya? Ha ha ha🙂
makinika dogo
GTc3menWAAE1l3J.jpeg
 
Sasa kama Tanzania wamelala Kenya iache kuchangamkia fursa?.pamoja na viongozi wa Tanzania kuziuza bandari zao zote Kwa Dp world kwa madai uchwara ya kuwa bandari zetu zitakuwa Bora kuliko bandari zozote afrika mashariki kumbe ni upuuzi mtupu.yaani Bado tumezidiwa na bandari ya Mombasa mara elfumoja zaidi.Viongozi wa tz mjitathimini kama hizo nafasi zinawatosha
upuzi juu ya upuzi tu 😅😅
 
Waruhusu tu, kwetu hatunaga baya.
Huo mlima Kilimanjaro nao mkitaka chukueni, au tuwape wazungu
imagine wako radhi nchi waikabidhi kwa waarabu na wahindi lakini mtu mweusi ananyimwa kichochoro cha kupita sehemu A kwenda B.
GTc3memW0AAQpRS.jpeg
 
Back
Top Bottom