Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania


View: https://x.com/thisistemidayo/status/1817154857431687568


View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1817066294115545183

GTfUspIXkAAmVgt


GTfUspDXcAELAEo


GTfUspFWoAEjR4D

i think the best of all these train stations, is Dodoma station, inatisha.
 
"Tanzania is a country with huge natural resources, huge population, huge land, huge land border and huge sea border," but no brain! Kwikwikwikwi....



If Think about it for a sec(lightly)...... it's actually true!
jirani hana akili!!! hebu cheki 👇
IMG_20240727_210717.jpg
 
mama yeye hana shida, maana kwa umri wake ana uhakika mhindi atakapomaliza mkataba huu yeye atakuwa alishatanguliaga kitambo. kaiachia nchi zigo hilo mtahangaika nalo.
 
mama yeye hana shida, maana kwa umri wake ana uhakika mhindi atakapomaliza mkataba huu yeye atakuwa alishatanguliaga kitambo. kaiachia nchi zigo hilo mtahangaika nalo.
Tanzania tuko hali mbaya sana aisee... tumwachie Mungu tu.
 
offered/ proposed but the Kenyan woke generation won't allow that. no wonder it was being kept a secret, how the info leaked, no one knows
Hamna uwezo muhindi anachukua tuu JKIA maana hela ya improvement hamna na uwanja karibia uwe banned.
 
Na hapo JKIA ni whole airport imechukuliwa 😁😁😁
Worse still atakuwa na share ya maisha 18% after concession yake ikiisha after 30 years 🤣🤣🤣🤣🤣
jaribu kuishi kwenye uhalisia. wachana na mihadarati
 
Back
Top Bottom