Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

We mbuzi wa kibera unataka kubisha kama Tanzania ndio ina bwawa kubwa la umeme hapa Afrika mashariki na kati!?
Kenya mna bwawa kubwa kuliko la nyerere??
Unataka kubisha kama JKCI ndio kitengo kikubwa cha moyo kinachomilikiwa na serikali huu ukanda???
Unataka kubisha kama Kigogo-Busisi daraja la urefu wa 3+kilometres ndio daraja refu ukanda huu!?
Unakaa unadanganyana na huyo mbung'o mwenzako eti TZ inawa copy ninyi,wapuuzi kweli nyie.
 
Naona mko 30+ years mbele yetu ndio maana mnalipisha ushuru kwenye madaraja na highway,ndio maana mna jointed railway ya SGR karne hii,ndio maana mna diesel locomotives kwa sgr karne hii,ndio maana mlituomba msaada wa dawa za TB mwaka huu,ndio maana mnaandamana kwa kukosa ugali,ndio maana raia wenu huja JKCI kutibiwa moyo kwa gharama nafuu.
Makalio ninyi.
HAkuna kitu ambacho Kenya kipo halafu Tanzania kisiwepo.
Ila kuna vitu vingi Tanzania vipo ila Kenya havipo.
 
Unabishana na watu hawana hata BRT, Electric trains wala luxurious marine vessels 🀣🀣🀣
 
Kenya IPO juu,
Bajeti ya Kenya,mapato yake, ni, sawa, na mapato ya tz,Uganda, Rwanda, Burundi, and South sudani,kwa, pamoja.
Kipato cha mkenya kwa mwaka, ni sawa na kujumlisha mapato ya mtz, mganda, Rwanda, burundi!
imagine bro.... hawa ndio watu wanaoleta ubishi wa kijinga na kipumbavu humu ndani.
check hizi data kisha uniambie kama wana akili timamu au wamechizika πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


jamaa tumewapiga bao sana... aliye na macho haambiwi tazama πŸ‘‡

 
🀣🀣🀣🀣
[IMG alt="Good Father"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/212/212114.jpg?1576248130[/IMG]

Good Father

JF-Expert Member​

Salaam wanabodi,
Awali nipongeze walipa kodi na waasisi wa wazo la ujenzi wa Sgr nchini. Japo ni mwanzo ila tuseme ukweli ili maboresho yafanyike. Natoa experience kwa reference ya kituo cha Dodoma nilipowahi kusafiri kuelekea Jijini Dsm.
  1. Punguzeni matangazo ya kusifia Rais na Serikali kwa ujumla wake. Huu ni uchawa, huko wenzetu wanazo treni nyingi na nzuri lakini ukipanda huwezi kukuta haya mambo. After all Rais hajasimamia ujenzi kwa pesa yake kutoka mfukoni, bali kodi na mikopo itakayolipwa na watanzania. Msitumie usafiri wa umma kufanya kampeni za chama mjiheshimu.
  2. Madirisha ya wahudumu hayana watu pale ground floor, madirisha kibao mhudumu mmoja hii inapoteza muda.
  3. Fikirieni kuwa na kitu karibu na mji wa Serikali Mtumba au Ihumwa kwa treni ya express. Hizo ofisi zinatembelewa na wageni wengi sana sasa inaboa kidogo mtu anaenda Mji wa Serikali alafu anaenda kushuka mbele kisha arudi nyuma umbali wa zaidi ya kilomita 20.
  4. Angalieni namna ya watu kuruhusiwa kupanda na vyakula, kwenye ndege mtu anapanda mpaka na ndoo ya sato kutoka Mwanza ikiwa imefungwa vema, nyie kila kitu mnazuia. Angalieni namna ya kwenda nalo maisha lazima yawe simple. Wahudumu mlioajiri kuuza kahawa na bites wajinga wajinga pia, unampa mtu elfu tano anakwambia hana chenji na anaondoka na chai yake wala sio kutafuta chenji.
  5. Kukata tiketi mtandaoni unahitaji kupokea code kwenye namba yako ya simu, hii haina ulazima mbona mifumo mingi tu ya namna hii ipo na haihitaji namba ya simu? Imagine uko nje kidogo ya network ya Tanzania na unataka kumkatia mtu tiketi maana haiwezekani kwa sababu sms ya code haitakufikia. Jifunzeni kwenye usafiri wa anga hata mabasi. Vitu viwe simple.
  6. Kuuza vitu bei ghali kuliko uhalisia na bei ya soko. mfano korosho za 75g mnauza elfu 4. maana yake kilo moja mnauza elfu 53, kwamba zinatoka nje ya nchi au zinalimwa na Wamakonde wenzetu na isitoshe mnawalangua tu
 
Correction, Uhuru has used the SGR on three occasions, Aliporudi kutoka Mombasa pia alitumia SGR lakini hakuna picha zilizopigwa, kuna mfanyikazi mmoja ndo alifanyikiwa kumpiga picha aliposhuka kituo cha Nairobi

poa brathee... huku wanamkatikia rais wao mauno haswa! 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Data gani unataka wewe?
Pia takwimu ni za nini ilhali vitu vinajionesha???
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Au unataka tukuletee takwimu zenu zisizoendana na uhalisia!?
 
Au unataka tukuletee takwimu zenu zisizoendana na uhalisia!?
unataka nikubembeleze kuleta takwimu za aina yoyote? we jamaa ni mbuzi sana... ungekua ushaleta kitambo sana.
a reason why huwa mara nyingi i choose to ignore your posts ni kuwa the truth is so obvious but munapenda kuzunguka mbuyu, going back and forth.
chagua chochote unachohitaji tujadili nikubane hadi ulie kama panya na ujue hakuna kuhamisha magoli wala usiseme hivi πŸ‘‡
vitu vinajionesha???
 
Sisi Watanzania hatuwezi biashara sijui tukoje! Sijui tuibinafsishe kwa Wakenya? Kwenye kusifia Rais mkuu huo siyo uchawa tu bali ni upumbavu! Na hao nao utafikri hawana vichwa! Hivi ukiwazuia inakuwaje?
mkuu.. apo kwa kusifiasifia is a big No!
aibu naiona mimi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unazikwepa post zangu kwasababu unajua zinasema ukweli.
Aya mimi nataka tujadili mambo machache tu.
1)Food security.
2)General social services.
3)Living costs.
Tuanze na Food security.
 
Unazikwepa post zangu kwasababu unajua zinasema ukweli.
Aya mimi nataka tujadili mambo machache tu.
1)Food security.
2)General social services.
3)Living costs.
Tuanze na Food security.
what about food security Ldc. talk to me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…