Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #17,941
unavyoongeaa sasahii Kenya ina njaa!ππ ilhali hunger report inasema muna njaa zaidi ya Kenya
Kichwa kikubwa ubongo wa mende πwacha maneno ya kwenye khanga ww. makinika
Kamanda tangu uumizwe na kifo cha Aqueline akili yako ni kama vile imevurugika.kweli sio poa aisee πππ
maharagwe pia ni chakula ya kuringishia mtu kweli? nyinyi washenzi mna vitukompaka maharagwe!
Ilete hiyo hunger report.ππ ilhali hunger report inasema muna njaa zaidi ya Kenya
Tushakuwekea ripoti ya FAO na WFP.ndio hawa hapa,,, wakishashiba mihogo ya kuchemsha na chai isiyokuwa na maziwa, wanajiona King Kong πππ wanakuja kujibizana na Wakenya π
View attachment 3074437
Malnutrition is caused by either too much food intake inappropriately or less food intake.ukosefu wa lishe bora... ππ
View attachment 3074442
wanasema wako food secured kumbe ni ushuzi mtupu
Utakimbia wewe humu ndani.makinika dogo, nataka kudeal na hili kubwa jinga sho Kosugi hadi likimbie uzi
We ngojea nimtwange na takwimu za kimataifa mbaka akimbie uzi.Mijitu tunailisha halafu inakuwa mipumbavu namna hii! Sisi hata wakati wa famine in the region mikoa ya nyanda za Juu kusini na food reserve hulisha Tanzania nzima plus Kundustan!
Cheki hii habari hapa chini.wacha maneno ya kwenye khanga ww. makinika
Ilete hiyo hunger report.
Mbona WFP na FAO hawajaiweka Tanzania katika list ya nchi zinazohitaji food external aid!?
Kwanini iwe Kenya na sio Tanzania!?
Nothern Kenya yote ni desert na ni part of horn of Africa. sisi tukitajwa hatukatai ila nyinyi muna ban kabisa mpaka vyombo vya habariCheki hii habari hapa chini.
Kila unapotaja njaa lazima Kenya iwepo.View attachment 3074466View attachment 3074467
takwimu gani ama ni kuhara unahara tu πππWe ngojea nimtwange na takwimu za kimataifa mbaka akimbie uzi.
Nani alikuambia chai hunywewa na maziwa?Tanzania hii moja ambayo watu kunywa chai ya maziwa ni anasa? πππ€£π€£π€£
ππ€£π€£π€£Asilimia kubwa huku kunywa maziwa mpaka mtu ale sumu
futa hii maana Wakenya watakushangaa.Nani alikuambia chai hunywewa na maziwa?