Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
๐๐ unataka kuwaibia simu zao? nisiwai kusikia malalamishi ya simu kuibiwa au watu kupigwa ngeta ๐Kuna wale masista duu wa kupiga picha nje ya stesheni na vibegi kuwa wanasafiri ilikuposti kwenye insta zao
Nashangaa nikiingia ndani siwaoni, maana nakuwa napanga niwamendee tushuke wote