ππ unataka kuwaibia simu zao? nisiwai kusikia malalamishi ya simu kuibiwa au watu kupigwa ngeta πKuna wale masista duu wa kupiga picha nje ya stesheni na vibegi kuwa wanasafiri ilikuposti kwenye insta zao
Nashangaa nikiingia ndani siwaoni, maana nakuwa napanga niwamendee tushuke wote
πππ ni suala la muda tuu...Serikali wakifunguaga miradi wanaanzaga kwa mbwembwe sana....wengine tushawazoea
Huko mbeleni sasa π
Ova
πππ ni suala la muda tuu...
πππ ni suala la muda tuu...
abiria wa buku... una safari ndefu sana!
unahangaika sana.
Sasa Mimi nihangaishwe na mtu ya kibera. Huna facts mmezoea maneno tu
Mimi Bado nasubiria ulete facts ambazo zitanipoteza
Umeshashindwa hoja unakimbilia kwenye vimbwanga na kanjanja au sio!?
Hana hoja huyo kashasepaUmeshashindwa hoja unakimbilia kwenye vimbwanga na kanjanja au sio!?
aa wapi? mwaniletea mtu illiterate... mtu yuko hoja_less kama ww. mwambie ajifunze kuandika maana ananipa wakati mgumu sana ili niweze kumuelewa.Umeshashindwa hoja unakimbilia kwenye vimbwanga na kanjanja au sio!?
Mwanza kuna nn?Ebu check nauli ya kwenda mwanza kwa tarehe 25/04/2024 kwa Bei ya ksh 8000 hii nauli ikuja Kenya wote mtatetemeka utumbo
Huna hoja mazeeh.aa wapi? mwaniletea mtu illiterate... mtu yuko hoja_less kama ww. mwambie ajifunze kuandika maana ananipa wakati mgumu sana ili niweze kumuelewa.
πππ kama vile ulivyoshindwa hapa πππHuna hoja mazeeh.
Umeshashindwa hoja waleta viroja.