Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #18,321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 unachekesha sana kama sio kufurahisha....Kufunga locomotives mbili sio kwamba moja haiwezi kuvuta bali kuna sehemu kama mbili along the MGR track kuna vilima vikali engine moja haitoshi hiyo loco ya pili inakuwa synchronised treni ikifika sehemu hiyo ya kilima kikali.
kuwa na akili basi kidogo. bado tunaendelea kufaidi. utake usitake!haha hawa jamaa walifaidi kipindi kile barabara ya kati ikiwa ni vumbi na kipindi kuna ujambazi uliokubuhi kanda ya kati, sasa hivi wananyosheka balaaa
wapuuzi hawa. wamejaa ujinga. ati umchukue mbwa, umwingize kwenye zizi la mbuzi, automatically huyo mbwa anakua mbuzi na kuanza kulia "mmeee" na kula nyasi.Nachofaham ni kuwa tren inayopita kwenye MGR haiwez kupita kwenye SGR sababu miundombinu ya hizo train ni mahsusi kwa aina ya reli flani
ndio hapo sasa. maskini hachaguiunataka vitu vizuri je hela unayo?
naam!Hilo nalo swali🙂
Mimi sibishani na akili ndogo.🤣🤣🤣🤣🤣 unachekesha sana kama sio kufurahisha....
mbuzi ww. unachosha watu akili tu 😂😂😂