Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio aibu ya serikali ya mama samia.Huyu mama hajui kitu kinaitwa standard wala ufanisi.
sina cha kuongea kabisa. Chawa wameiteka nyara akIli yake daah!Hii ndio aibu ya serikali ya mama samia.Huyu mama hajui kitu kinaitwa standard wala ufanisi.
Aisee sikutegemea aibu kama hii,ile electric locomotive ina viti vizuri kuliko hii EMU.
Ni nini maana ya kuweka business na royal class kama maviti yenyewe kama ya panton!??
Hiyo EMU ni vichekesho vitupu bei kubwa lakini hupati hadhi ya Royal ama business kama walivyoiita.sina cha kuongea kabisa. Chawa wameiteka nyara akIli yake daah!
Mama Samia hanywi! Atakuwa Ruto mwenye kukodi za Dubai!Mungu saidia....
View attachment 3144147
Sasa hapa hata nikiambiwa kulipa laki na nusu tola dar mpaka dom sio kesi nalipa.
Wanasiasa nchi hii wameshajua watz ni maiti zinazotembea.Hali tete kwa wakandarasi kampuni nyingi zinapumulia mashine madeni kila kona taasisi za fedha zinawadai wafanyakazi nao mishahara imekuwa tabu mambo hayako sawa 🤮🤮🤮
View attachment 3144463
Wanalipa nearly Tshs 300,000!Sasa hapa hata nikiambiwa kulipa laki na nusu tola dar mpaka dom sio kesi nalipa.
Kwenu daraja hili kwa umbali wa km 400 mnalipaje?