Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

naona umerudia tena kujitoa ufahamu. hebu pitia hii excerpt hapa ili uweze kujitoa tongotongo 👇

wewe katika maisha yako umewahi kusikia treni ya Kenya imekwama porini kweli? yaani hivi huogopi kuliwa na fisi huko porini? 😳😁
 
Huyo kamanda atafanya kila aliwezalo kuonyesha kwamba sgr ya Kenya ni bora kuliko ya Tanzania. Mwache aendelee kama alivyo😁
 
Nikikwambia huna akili nitakua nakukosea!???
Kwa akili zako kama firigisi mfumo wa uendeshaji reli ya umeme unafanana na uendeshaji wa reli ya dizeli!??
Bro we msomi embu acha ubishani wa kipuuzi.
Sasa reli yenu si sawa na MGR yetu!?
Uliwahi kusikia MGR ya Tanzania imekwama!?
Kuna changamoto katika uendeshaji reli ya umeme.
 
Huyo kamanda atafanya kila aliwezalo kuonyesha kwamba sgr ya Kenya ni bora kuliko ya Tanzania. Mwache aendelee kama alivyo😁
Mpuuzi huyu,reli yenyewe jointed railway pia locomotives zake za dizeli.
Sasa unatarajia kuna ugumu wa mfumo wa uendeshaji kwa reli ya namna hiyo!?
Si sawa na MGR yetu inayoenda Mwanza!?
 
Mpuuzi huyu,reli yenyewe jointed railway pia locomotives zake za dizeli.
Sasa unatarajia kuna ugumu wa mfumo wa uendeshaji kwa reli ya namna hiyo!?
Si sawa na MGR yetu inayoenda Mwanza!?
Sasa reli yenu si sawa na MGR yetu!?
Uliwahi kusikia MGR ya Tanzania imekwama!?

we mwehu kweli 😁😁😁
usitake kufananinisha mbingu na jehanam

Huyo kamanda atafanya kila aliwezalo kuonyesha kwamba sgr ya Kenya ni bora kuliko ya Tanzania. Mwache aendelee kama alivyo😁
chawa wa mama, kuna siku nimewai danganya humu ndani?
mama yako yuko bize anakunywa whiskey na kuvuta shisha huku,,, sote tunajua ni kipi kinachofuata mwanamke akishalewa pombe 😁😁😁
 
we mwehu kweli 😁😁😁
usitake kufananinisha mbingu na jehanam
View attachment 3145388
View attachment 3145389
View attachment 3145390
Bro unaona ulivyokua ni punguani wa akili!??
Yani unafananisha kukwama kwa treni na ajali ya treni!??
Hivi mkuu akili yako inafanya kazi!??
Unapoingia katika ajali unaingia katika mada nyingine mpya.
Hiyo ni ajali sio kukwama kwa usafiri kihitilafu.
Hata bullet train ya China iliwahi kupata ajali,je nao utasemaje!?

Aisee unajidharaulisha sana.
 
ng'ombe ww,, unataka kufananisha visivyo fananika? kwanza jua kwanini ikaitwa Sgr na ingine ikaitwa Mgr.
ng'ombe ni ng'ombe tu 😁😁
 
ng'ombe ww,, unataka kufananisha visivyo fananika? kwanza jua kwanini ikaitwa Sgr na ingine ikaitwa Mgr.
ng'ombe ni ng'ombe tu 😁😁
Sikutukani maana tayari nishajua una upeo mfupi kutoka kufananisha ajali na ukwamaji kiuendeshaji.
SGR yenu ni jointed rail pia inatumia diesel locomotives.
MGR ya Tanzania ni continous welded na inatumia engine zenye nguvu sawa na zenu.Utofauti hapo ni upana wa gauge na ya TZ continous welded yenu jointed.
Kwanini nisiseme SGR yenu sawa na MGR yetu!??
Katika uendeshaji si ni vile vile tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…