Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz hakuna taasisi inayokosa mishahara hilo uongo.Hali tete kwa wakandarasi kampuni nyingi zinapumulia mashine madeni kila kona taasisi za fedha zinawadai wafanyakazi nao mishahara imekuwa tabu mambo hayako sawa 🤮🤮🤮
View attachment 3144463
wewe subiri yakukute. tutakua hapa hapa 😁😁Tz hakuna taasisi inayokosa mishahara hilo uongo.
Ila kuhusu kukwama miradi hilo linawezekana.
Hapo ndugu unaropoka,reli yenu ina quality ipi kama ni jointed rail!?
naona umerudia tena kujitoa ufahamu. hebu pitia hii excerpt hapa ili uweze kujitoa tongotongo 👇Hapo ndugu unaropoka,reli yenu ina quality ipi kama ni jointed rail!?
Pia reli ya Tanzania ina ubora mkubwa tu, hizo locomotives zinakwama kwasababu ya hitilafu ya umeme na uendeshaji.
Hiyo ni reli ya umeme ina mfumo wake wa uendeshaji sio sawa na reli ya dizeli.
Huyo kamanda atafanya kila aliwezalo kuonyesha kwamba sgr ya Kenya ni bora kuliko ya Tanzania. Mwache aendelee kama alivyo😁Hapo ndugu unaropoka,reli yenu ina quality ipi kama ni jointed rail!?
Pia reli ya Tanzania ina ubora mkubwa tu, hizo locomotives zinakwama kwasababu ya hitilafu ya umeme na uendeshaji.
Hiyo ni reli ya umeme ina mfumo wake wa uendeshaji sio sawa na reli ya dizeli.
Nikikwambia huna akili nitakua nakukosea!???naona umerudia tena kujitoa ufahamu. hebu pitia hii excerpt hapa ili uweze kujitoa tongotongo 👇
View attachment 3145207
wewe katika maisha yako umewahi kusikia treni ya Kenya imekwama porini kweli? yaani hivi huogopi kuliwa na fisi huko porini? 😳😁
Mpuuzi huyu,reli yenyewe jointed railway pia locomotives zake za dizeli.Huyo kamanda atafanya kila aliwezalo kuonyesha kwamba sgr ya Kenya ni bora kuliko ya Tanzania. Mwache aendelee kama alivyo😁
Mpuuzi huyu,reli yenyewe jointed railway pia locomotives zake za dizeli.
Sasa unatarajia kuna ugumu wa mfumo wa uendeshaji kwa reli ya namna hiyo!?
Si sawa na MGR yetu inayoenda Mwanza!?
Sasa reli yenu si sawa na MGR yetu!?
Uliwahi kusikia MGR ya Tanzania imekwama!?
chawa wa mama, kuna siku nimewai danganya humu ndani?Huyo kamanda atafanya kila aliwezalo kuonyesha kwamba sgr ya Kenya ni bora kuliko ya Tanzania. Mwache aendelee kama alivyo😁
Unaumwa wewe kamanda, sio bure.chawa wa mama, kuna siku nimewai danganya humu ndani?
mama yuko bize anakunywa whiskey na kuvuta shisha huku,,, sote tunajua ni kipi kinachofuata mwanamke akishalewa pombe 😁😁😁
una matatizo ya akili wwUnaumwa wewe kamanda, sio bure.
Bro unaona ulivyokua ni punguani wa akili!??we mwehu kweli 😁😁😁
usitake kufananinisha mbingu na jehanam
View attachment 3145388
View attachment 3145389
View attachment 3145390
ng'ombe ww,, unataka kufananisha visivyo fananika? kwanza jua kwanini ikaitwa Sgr na ingine ikaitwa Mgr.Bro unaona ulivyokua ni punguani wa akili!??
Yani unafananisha kukwama kwa treni na ajali ya treni!??
Hivi mkuu akili yako inafanya kazi!??
Unapoingia katika ajali unaingia katika mada nyingine mpya.
Hiyo ni ajali sio kukwama kwa usafiri kihitilafu.
Hata bullet train ya China iliwahi kupata ajali,je nao utasemaje!?
Aisee unajidharaulisha sana.
Hamna shida.una matatizo ya akili ww
ndio maanaHamna shida.
kipi kiko sawa hapo?Sawa sawa
Sikutukani maana tayari nishajua una upeo mfupi kutoka kufananisha ajali na ukwamaji kiuendeshaji.ng'ombe ww,, unataka kufananisha visivyo fananika? kwanza jua kwanini ikaitwa Sgr na ingine ikaitwa Mgr.
ng'ombe ni ng'ombe tu 😁😁