Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mkuu umegundua kitu muhimu sana.. zi zoom zote mbili halafu zifungulie uzi tuzi discuss kwa kina!! Wakenya wamepigwa mno
Hahaha kumbe nawewe umegundua kitu👏👏👏👏👏👏👏👍👍
 
Average speed ni 120km/hr ..... Hakuna siku Madaraka express ishawahi chelewa. Ku calculate avg speed is as simple as Distance/Time... Kama ingekua ni 110km/hr ingekua train inachukua masaa sita kufika...

Alafu hapo kwa speed, Average container dwell time ya Dar-port ni 7 days wakati average Container dwell time ya Mombasa ni 5 days.... Kwahivyo hata kabla mzigo upakiwe kwa SGR-Tz tayari Kenya itakua na 2 days advantage!!!!
 
2 days advantage!! Wewe hujui ulisemalo, unaleta maneno ya kijiweni.
 
2 days advantage!! Wewe hujui ulisemalo, unaleta maneno ya kijiweni.
Hakuna siku utanipata nime comment statement muhimu kama hio bila kuwa na ushahidi kama vile nyinyi mmezoea kufanya

Container dwell Time - The amount of time a container waits to get picked up at a marine terminal after being unloaded from a vessel.

Avg dwell time Dar ni 7 days, Mombasa ni 5 Days, Durban ni 4 days




Kwa overal port performance rating tumewaacha na mbali sana, Mombasa iko na 74 points wakati Dar iko na 53 points





Interms of best performing ports ambazo zinaweza kushukisha contena zaidi ya 30 ndani ya 1 hr kutoka kwa meli moja, Tanzania haimo kwa list...





Kwahivyo kama nilivyosema hapo awali, Hata kabla Reli ya TZ ianze safari, Kenya itakua ilishashukisha mizigo yote kutoka kwa meli na kuikagua na kuisafirisha juzi!!!!!

https://www.pwc.co.za/en/assets/pdf/strengthening-africas-gateways-to-trade.pdf
 
Hamna mkuu.. tunaongelea nguzo, za Kenya ni kama zitapitisha piki piki
FYI hizo T-beams zinawekwa zikiwa double, upana wake hapo juu ni sawa na two lane road hii ndio maana zinaitwa T-Beams manake hapo juu ndo kuna hio T




Anyway, ni ushamba ndo hua unawasumbua kama kawa, madaraja ulioyaona ya SGR tz yako hapo Dar pekee na tayari unaanza kuingilia madaraja ya Ke amabayo yako kila mahali na ya aina tofauti tofauti,

Hayo madaraja mapana hua yanatumika kama kuna daraja linakaribia kituoni ambapo unataka reli zaidi ya moja juu ya daraja ... etc... hata SGR-Ke kuna sehemu zengine ziko na madaja ya aina hio











Kuna sekemu nyengine madaraja yake yako tofauti na sababu zake, sijaona daraja kama hii huko sgr-tz lakini siwezi nikaanza kuingilia SGR-tz kwasababu sijaona kama hilo.

 
Ujenzi wa reli unaendana na upanuzi wa port.. Ili kupunguza dwelling time
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hao ndiyo wazee wa phase 1A up to phase 20Z
 
Wewe unafkiri tumeekeza 350m usd kupanua bandari ya dar es salaam unafkiri tunafanya maigizo hehhehe endelea kuota hvo hvo😂😂😂
 
Why should high speed train have a bridge like that? Ebu nionyeshe bridge elevated namna hiyo high speed train Shanghai-Ghangzhou!
 
Point of correction it is "maximum speed"! when u say average speed u mean that mtambo wa chang'aa can go above 120km/h. The truth is it goes at 110km/h as Maximum speed!

See the truth here was already discussed before with facts provided.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…