mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Mkuu umegundua kitu muhimu sana.. zi zoom zote mbili halafu zifungulie uzi tuzi discuss kwa kina!! Wakenya wamepigwa mno
Sio kwamba ilikuwa kwenye progess ndio mtu mmoja akachukua kapicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umegundua kitu muhimu sana.. zi zoom zote mbili halafu zifungulie uzi tuzi discuss kwa kina!! Wakenya wamepigwa mno
Hahaha kumbe nawewe umegundua kitu👏👏👏👏👏👏👏👍👍Mkuu umegundua kitu muhimu sana.. zi zoom zote mbili halafu zifungulie uzi tuzi discuss kwa kina!! Wakenya wamepigwa mno
Average speed ni 120km/hr ..... Hakuna siku Madaraka express ishawahi chelewa. Ku calculate avg speed is as simple as Distance/Time... Kama ingekua ni 110km/hr ingekua train inachukua masaa sita kufika...Sijasema wawejengee bullet train.. wange ongeza kidogo angalau iwe kama ya kaka yenu Tz. Halafu average speed ya SGR Msa-Nai ni 110 siyo 120 kama ilivyo paswa kuwa. Tofauti ya 40 ni kubwa sana kwa safari km 500 train ya Tz itachukua masaa 3 wakati yenu itachukua masaa 4. As the journey gets longer the gap widens.
Hamna mkuu.. tunaongelea nguzo, za Kenya ni kama zitapitisha piki pikiSio kwamba ilikuwa kwenye progess ndio mtu mmoja akachukua kapicha
2 days advantage!! Wewe hujui ulisemalo, unaleta maneno ya kijiweni.Average speed ni 120km/hr ..... Hakuna siku Madaraka express ishawahi chelewa. Ku calculate avg speed is as simple as Distance/Time... Kama ingekua ni 110km/hr ingekua train inachukua masaa sita kufika...
Alafu hapo kwa speed, Average container dwell time ya Dar-port ni 7 days wakati average Container dwell time ya Mombasa ni 5 days.... Kwahivyo hata kabla mzigo upakiwe kwa SGR-Tz tayari Kenya itakua na 2 days advantage!!!!
Hakuna siku utanipata nime comment statement muhimu kama hio bila kuwa na ushahidi kama vile nyinyi mmezoea kufanya2 days advantage!! Wewe hujui ulisemalo, unaleta maneno ya kijiweni.
FYI hizo T-beams zinawekwa zikiwa double, upana wake hapo juu ni sawa na two lane road hii ndio maana zinaitwa T-Beams manake hapo juu ndo kuna hio THamna mkuu.. tunaongelea nguzo, za Kenya ni kama zitapitisha piki piki
Ujenzi wa reli unaendana na upanuzi wa port.. Ili kupunguza dwelling timeHakuna siku utanipata nime comment statement muhimu kama hio bila kuwa na ushahidi kama vile nyinyi mmezoea kufanya
Container dwell Time - The amount of time a container waits to get picked up at a marine terminal after being unloaded from a vessel.
Avg dwell time Dar ni 7 days, Mombasa ni 5 Days, Durban ni 4 days
![]()
Kwa overal port performance rating tumewaacha na mbali sana, Mombasa iko na 74 points wakati Dar iko na 53 points
![]()
Interms of best performing ports ambazo zinaweza kushukisha contena zaidi ya 30 ndani ya 1 hr kutoka kwa meli moja, Tanzania haimo kwa list...
![]()
Kwahivyo kama nilivyosema hapo awali, Hata kabla Reli ya TZ ianze safari, Kenya itakua ilishashukisha mizigo yote kutoka kwa meli na kuikagua na kuisafirisha juzi!!!!!
https://www.pwc.co.za/en/assets/pdf/strengthening-africas-gateways-to-trade.pdf
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hao ndiyo wazee wa phase 1A up to phase 20ZBado.. kwani ile phase 2B na phase 2C zenu zimeshakamilika. Bila kusahau phase 2A, na vipi mchina amekubali kutoa pesa za phase zilizo bakia. Hapa naongelea phase 2B kuendelea mpaka phase 3C achana na phase 4B mpaka 5C ambapo mpaka M7 mme mpa kazi ajenge upande wenu. Hivi mpaka kufika Kigali mlikua mmeipa jina gani!? Phase 10E au...... nijibu taratibu Jane, U kno i like the way you talk to me.
Wewe unafkiri tumeekeza 350m usd kupanua bandari ya dar es salaam unafkiri tunafanya maigizo hehhehe endelea kuota hvo hvo😂😂😂Average speed ni 120km/hr ..... Hakuna siku Madaraka express ishawahi chelewa. Ku calculate avg speed is as simple as Distance/Time... Kama ingekua ni 110km/hr ingekua train inachukua masaa sita kufika...
Alafu hapo kwa speed, Average container dwell time ya Dar-port ni 7 days wakati average Container dwell time ya Mombasa ni 5 days.... Kwahivyo hata kabla mzigo upakiwe kwa SGR-Tz tayari Kenya itakua na 2 days advantage!!!!
Why should high speed train have a bridge like that? Ebu nionyeshe bridge elevated namna hiyo high speed train Shanghai-Ghangzhou!FYI hizo T-beams zinawekwa zikiwa double, upana wake hapo juu ni sawa na two lane road hii ndio maana zinaitwa T-Beams manake hapo juu ndo kuna hio T
![]()
Anyway, ni ushamba ndo hua unawasumbua kama kawa, madaraja ulioyaona ya SGR tz yako hapo Dar pekee na tayari unaanza kuingilia madaraja ya Ke amabayo yako kila mahali na ya aina tofauti tofauti,
Hayo madaraja mapana hua yanatumika kama kuna daraja linakaribia kituoni ambapo unataka reli zaidi ya moja juu ya daraja ... etc... hata SGR-Ke kuna sehemu zengine ziko na madaja ya aina hio
![]()
![]()
![]()
Kuna sekemu nyengine madaraja yake yako tofauti na sababu zake, sijaona daraja kama hii huko sgr-tz lakini siwezi nikaanza kuingilia SGR-tz kwasababu sijaona kama hilo.
![]()
Why should high speed train have a bridge like that? Ebu nionyeshe bridge elevated namna hiyo high speed train Shanghai-Ghangzhou!
Point of correction it is "maximum speed"! when u say average speed u mean that mtambo wa chang'aa can go above 120km/h. The truth is it goes at 110km/h as Maximum speed!Average speed ni 120km/hr ..... Hakuna siku Madaraka express ishawahi chelewa. Ku calculate avg speed is as simple as Distance/Time... Kama ingekua ni 110km/hr ingekua train inachukua masaa sita kufika...
Alafu hapo kwa speed, Average container dwell time ya Dar-port ni 7 days wakati average Container dwell time ya Mombasa ni 5 days.... Kwahivyo hata kabla mzigo upakiwe kwa SGR-Tz tayari Kenya itakua na 2 days advantage!!!!
A reason ur design can not conduct a train going above 110km/h! Levelling can be attained by trenching the sgr too!Wanatafuta level
Exactly as if it was going at an average speed of 120km/h then it would have taken 3 hrs for Mombasa-Nairobi journey.Average speed will likely be around 100 km/hr