Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

siku moja itawacha kukwama 😁😁😁 hivyo ndio unaomba sio?
matatizo ya kiuendeshaji ndio yanayosababisha ajali. we wa wapi???
 
siku moja itawacha kukwama 😁😁😁 hivyo ndio unaomba sio?
matatizo ya kiuendeshaji ndio yanayosababisha ajali. we wa wapi???
Ona unavyojichanganya.
Matatizo ya kiuendeshaji kama yapi!?
Embu yataje hapa.
Mfumo wa uendeshaji ukipata hitilafu unaifananisha vipi na ajali!?
Ajali nyingi zilizotokea za reli ni uchakavu wa reli pili ni miundombinu hafifu.
Ila hilo limerekebishwa na linaendelea kurekebishwa.
Usifananishe kukwama kwa treni na ajali.
 
matatizo/ mfumo.... nenda usome kuhusu Igandu Train Collision
 
Kama unabisha sema tuanze uchambuzi hapa.
usiwe unapenda tu kukariri vijimaneno vya watu kama yule boya coodip1 alivyokaririshwa kuhusu axle load na 2km bullshit basi kila aendapo wimbo ni huo huo πŸ˜„πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…