Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sikutukani maana tayari nishajua una upeo mfupi kutoka kufananisha ajali na ukwamaji kiuendeshaji.
SGR yenu ni jointed rail pia inatumia diesel locomotives.
MGR ya Tanzania ni continous welded na inatumia engine zenye nguvu sawa na zenu.Utofauti hapo ni upana wa gauge na ya TZ continous welded yenu jointed.
Kwanini nisiseme SGR yenu sawa na MGR yetu!??
Katika uendeshaji si ni vile vile tu!?
siku moja itawacha kukwama 😁😁😁 hivyo ndio unaomba sio?
matatizo ya kiuendeshaji ndio yanayosababisha ajali. we wa wapi???
 
siku moja itawacha kukwama 😁😁😁 hivyo ndio unaomba sio?
matatizo ya kiuendeshaji ndio yanayosababisha ajali. we wa wapi???
Ona unavyojichanganya.
Matatizo ya kiuendeshaji kama yapi!?
Embu yataje hapa.
Mfumo wa uendeshaji ukipata hitilafu unaifananisha vipi na ajali!?
Ajali nyingi zilizotokea za reli ni uchakavu wa reli pili ni miundombinu hafifu.
Ila hilo limerekebishwa na linaendelea kurekebishwa.
Usifananishe kukwama kwa treni na ajali.
 
matatizo/ mfumo.... nenda usome kuhusu Igandu Train Collision
 
Kama unabisha sema tuanze uchambuzi hapa.
wacha niufunge kabisa 😁😁😁
IMG_20241106_211641.jpg
 
Back
Top Bottom