Wacha kujipatia entitlement yenye hakuna. Kwamba wewe ni Mtanzania so automatically unakuwa Mswahili?Hivi mimi mswahili nisijue maana ya masika!?
Tanzania ina misimu miwili ya masika,mwanzo mwa mwaka na mwisho mwa mwaka.
😂😂😂😂😂Wewe kamanda hujielewi kuwa ni kichekesho?😁
Pole yako kijana,umeshindwa kuelewa kuwa hiyo misimu minne huwa haibaki katika msururu mmoja,Kuna muda hubadilika na mingine hujirudia.Wacha kujipatia entitlement yenye hakuna. Kwamba wewe ni Mtanzania so automatically unakuwa Mswahili?
Kama hujui kitu, kubali ili ufunzwe, upate kuelewa. La sivyo utazidi kuumbuka hapa kila siku kisha unaingia mitini (unatoroka).
wacha tu nikufungue macho kidogo,,
kuna misimu minne kila mwaka na msimu wa masika ni moja kati yao.
🤣🤣🤣Pole yako kijana,umeshindwa kuelewa kuwa hiyo misimu minne huwa haibaki katika msururu mmoja,Kuna muda hubadilika na mingine hujirudia.
Endelea kukaza fuvu.
Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁😂😂😂😂😂
pole sana dogo.
Umekosea hoja unabwabwaja!?🤣🤣🤣
mwenzako alijaribu kukutahadharisha, hukutaka kumsikia. ona sasa ulivyoangukia pua.
View attachment 3153283
katika mwaka, kuna msimu wa mvua nyingi na msimu wa mvua chache/ fupi.Umekosea hoja unabwabwaja!?
Endelea kubwabwaja kijana.
I
sawa dogo.Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁
Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁sawa dogo.
poa dogo 😁Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁
Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁poa dogo 😁
fiti dogo 😁Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁
Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁fiti dogo 😁
ok dogo nimekuelewa.Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁
Endelea tu kuniita dogo, hiyo ndio furaha yangu bwa'mdogo kama hujui😁ok dogo nimekuelewa.
View attachment 3153658