Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hazipo constant
Wiki iliyopita kurudi nyuma kulikua na ordinary ya saa tatu asubuhi
Ya saa 11 asubuhi imepanda 10k juu ghafla hata sijaona tangazo, ina maana kuanzia ilivyoanza kazi nusu mwaka tu ndio tayari bei zimepanda, baada ya miaka mitatu itakuaje?
kwani zitakueko? 🤣
 
Kheri ya mwaka mpya wakuu....
IMG_20241231_163816.jpg

IMG_20250101_135137.jpg
 
Won't say much but hii picha ingepigwa upande ule mwingine, jamaa wangetujazia server humu!!! wangedai ati ooh Uganda wanapitisha 'esjiara' tz, oh sijui eacop imekamilika blah blah... too much b.s 😁😁😁
IMG_20250102_112622.jpg

GgRml8SWYAAkOX5.jpeg

wivu ni mbaya sana ndugu zanguni.
 
Won't say much but hii picha ingepigwa upande ule mwingine, jamaa wangetujazia server humu!!! wangedai ati ooh Uganda wanapitisha 'esjiara' tz, oh sijui eacop imekamilika blah blah... too much b.s 😁😁😁
View attachment 3190460
View attachment 3190464
wivu ni mbaya sana ndugu zanguni.
Upumbavu wa huko Ukunyani what’s so special with a cultural event?
 
Mxiuuuuu! Huyo balozi ni mnafiki. Anataka kusema SGR ya Tanzania inazidi zile za Ethiopia, Kenya, Egypt, Spain, China, South Korea, Italia, UK, US na kwingineko?

Anatafuta kitalu cha wanyama huyu. Na kwa sifa hizi tayari kishapewa mbuga ya Serengeti.
binafsi hata mimi pia nimemshangaa sana huyo balozi aisee.... 🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: G4N
binafsi hata mimi pia nimemshangaa sana huyo balozi aisee.... 🤣🤣🤣
Mxiuuuuu! Huyo balozi ni mnafiki. Anataka kusema SGR ya Tanzania inazidi zile za Ethiopia, Egypt, Spain, China, South Korea, Italia, UK, US na kwingineko?

Anatafuta kitalu cha wanyama huyu. Na kwa sifa hizi tayari kishapewa mbuga ya Serengeti.
Ni dhahiri inaonesha kuwa wewe na huyu G4N hamna akili na mlifeli sana masomo.
Hakuna mahala huyo balozi kamsema: "Treni yetu ni bora kuliko nchi nyingine"

Balozi katoa maoni yake juu ya:
1. "Experience"
2. "Punctuality, kuondoka kwa muda na kufika kwa muda"
3. "Hospitality and professionalism of the staff"

Ukiona mtu anapinga someone's opinion of their empirical experience, jua for a fact mtu huyo ni MPUMBAVU!

View: https://x.com/ambobattle/status/1874565296411005380
 
Wakuu,,, ningependa kuwaomba muweze kuipotezea ile akaunti ya yule 'balozi' bandia ya jana kwani hadi mtandao wa X waliweza kubaini ni feki na hivyo basi akaunti hio imekuwa Suspended.
Akaunti ya haki inayofahamika ni hii 👇
IMG_20250103_130712.jpg

Back
Top Bottom