Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

kwani zitakueko? 🤣
 
Won't say much but hii picha ingepigwa upande ule mwingine, jamaa wangetujazia server humu!!! wangedai ati ooh Uganda wanapitisha 'esjiara' tz, oh sijui eacop imekamilika blah blah... too much b.s 😁😁😁


wivu ni mbaya sana ndugu zanguni.
 
Upumbavu wa huko Ukunyani what’s so special with a cultural event?
 
binafsi hata mimi pia nimemshangaa sana huyo balozi aisee.... 🤣🤣🤣
 
Reactions: G4N
binafsi hata mimi pia nimemshangaa sana huyo balozi aisee.... 🤣🤣🤣
Mxiuuuuu! Huyo balozi ni mnafiki. Anataka kusema SGR ya Tanzania inazidi zile za Ethiopia, Egypt, Spain, China, South Korea, Italia, UK, US na kwingineko?

Anatafuta kitalu cha wanyama huyu. Na kwa sifa hizi tayari kishapewa mbuga ya Serengeti.
Ni dhahiri inaonesha kuwa wewe na huyu G4N hamna akili na mlifeli sana masomo.
Hakuna mahala huyo balozi kamsema: "Treni yetu ni bora kuliko nchi nyingine"

Balozi katoa maoni yake juu ya:
1. "Experience"
2. "Punctuality, kuondoka kwa muda na kufika kwa muda"
3. "Hospitality and professionalism of the staff"

Ukiona mtu anapinga someone's opinion of their empirical experience, jua for a fact mtu huyo ni MPUMBAVU!


View: https://x.com/ambobattle/status/1874565296411005380
 
Wakuu,,, ningependa kuwaomba muweze kuipotezea ile akaunti ya yule 'balozi' bandia ya jana kwani hadi mtandao wa X waliweza kubaini ni feki na hivyo basi akaunti hio imekuwa Suspended.
Akaunti ya haki inayofahamika ni hii 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…