I bet you are child!ππ π
View attachment 3192943
Embu leta comment za wakenya wenzako kwenye hio post wanasemaje.. i know you envy us in thisMungu saidia.
Majirani wanakapitia kisawasawa πΏπΏπΏ wueh! This is torture π
View: https://x.com/Gideon_Kitheka/status/1875882256662679902
Haya njoo uone wakenya wenzako wanavyosema kuhusu treni yenu engine inavyoharibika.. tena kimya kimya halafu kama hamna kilichotokeaπππMungu saidia.
Majirani wanakapitia kisawasawa πΏπΏπΏ wueh! This is torture π
View: https://x.com/Gideon_Kitheka/status/1875882256662679902
kumbe ni 'newly-launched'!!!Haya njoo uone wakenya wenzako wanavyosema kuhusu treni yenu engine inavyoharibika.. tena kimya kimya halafu kama hamna kilichotokeaπππ
Sgr kenya hufanya trip 3 ndani ya masaa 16 na moja ya trip treni inafika the next day. kwa mfano treni ya saa nne usiku ya tarehe 31/012/2024 ilifika 1/1/2025 yaan treni ilitumia siku mbili kufika mombasa nd vice versa.
sgr tanzania inafanya trip 3 ndani ya msa kumi na mbili tu na hakuna treni inayofika siku yaa pili.
RATIBA YA SGR KENYA
FROM DEPARTURE TIME TO ARIVAL TINE NAIROBI 8:00 AMMOMBASA 2:00PM MOMBASA 3:00 PMNAIROBI 8.35 PM NAIROBI 10:00 PMNAIROBI 3:35 AM ( NEXT DAY)
RATIBA YA SGR TANZANIA
FROM DEPARTURE TIME TO ARIVAL TINE DAR 6:00 AMDODOMA 10:00 AMDODOMA 2:10 PMDAR 6:00 PMDAR 6:50 PMDODOMA 10:50:00 PM (SAME DAY}
kila siku kuna watu wanalala na viatu kwenye sgr kenya
Haijalishi lini lakin hua inatokea sio mara moja au mbili ila mnafunikaga kimya kimyakumbe ni 'newly-launched'!!!
remind me which year was that?
View attachment 3194279
bro, tunaongelelea mambo ya 2025, hata wiki haijaisha, wewe unaleta mambo ya 10yrs ago... shame on you! π π
wacha ndoto wewe. tunafunika kwa manufaa au faida gani sasa?Haijalishi lini lakin hua inatokea sio mara moja au mbili ila mnafunikaga kimya kimya
πππ namna hii sio πHaijalishi lini lakin hua inatokea sio mara moja au mbili ila mnafunikaga kimya kimya